NextGenTanzania (@nextgentz) 's Twitter Profile
NextGenTanzania

@nextgentz

A research project whose objective is to understand key issues perceived by youth in Tanzania and their priorities. [email protected]

ID: 744825906892521472

linkhttps://www.britishcouncil.or.tz/programmes/education/nextgen calendar_today20-06-2016 09:35:09

315 Tweet

2,2K Followers

551 Following

NextGenTanzania (@nextgentz) 's Twitter Profile Photo

Elimu sio tu nadharia, elimu pia ni vitendo, mzazi wa nyumbani & mzazi wa shuleni (Mwalimu) wawe na lengo moja ili elimu iwe msaada #NextGen

NextGenTanzania (@nextgentz) 's Twitter Profile Photo

Watu 44/100 wanatumia redio, 26/100 wanatumia luninga kupata taarifa. Serikali bado inatumia jukwaa hizi traditional kutoa taarifa #NextGen

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

hata ukijatahidi ufanye kitu kwa mtaji mdogo, TRA na halmashauri wamekuwa mwiba kwa sisi vijana katika kujikomboa x.com/NextGenTZ/stat…

NextGenTanzania (@nextgentz) 's Twitter Profile Photo

Passion, Discipline and Commitment ni nguzo muhimu kwa kijana anayeanza biashara ili kuweza kuzimudu changamoto anazokutana nazo #NextGen

NextGenTanzania (@nextgentz) 's Twitter Profile Photo

Vijana wanatakiwa waandaliwe mazingira mazuri ya maendeleo, Serikali ifikirie kuanzisha Taasisi za Maendeleo ya Vijana #NextGen

Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Utafiti wa NextGeneration, mradi ulio chini ya British Council ya Ubalozi wa Uingereza, uliofanywa katika mikoa... fb.me/5TLSST3E3

Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

'Lazima wewe mwenyewe urudi kama mimi nilivyorudi na kujaribu kufanya kazi ngumu ya kujichimba kugundua kama wewe... fb.me/376X2tqy3