National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile
National Ranching Company Limited (NARCO)

@narcotanzania

NARCO is a commercial parastatal organization 100 percent owned by the Government of Tanzania with the mandate to undertake large scale ranching

ID: 1509426583450304514

linkhttp://www.narco.go.tz calendar_today31-03-2022 07:05:48

15 Tweet

13 Followers

1 Following

National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

MD - NARCO (kushoto) leo akimzungumzia Ofa Kubwa ya Madume ya Borani itakayokuwa hewani hadi tarehe 20.07.2022. Ofa hii imeendelea kutolewa leo 12.07.20222 katika Maonesho ya Saba Saba, Dar es Salaam. Mwisho wa Ofa ya Saba Saba ni Mwanzo wa Ofa ya Nane Nane.

Mhe. Dkt. Angeline S.L.Mabula, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipotembelea Banda la NARCO katika Maonesho ya Saba Saba, tarehe 08.07.2022.

Mkurugenzi Mtendaji wa NARCO akizungumza na vyombo vya habari kuhusu majukumu ya NARCO pamoja na Ofa Kubwa ya Madume ya Borani kwa watanzania katika msimu wa Sikukuu ya Saba Saba na Idd itakayoisha tarehe 20.07.2022

National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

Kongwa Beef ni Nyama "Organic" Safi na Salama. Ina ubora wa Ki-mataifa, utamu asilia na ladha maridhawa. Kongwa Beef ina ulaini wa kuvutia na mtawanyiko mzuri wa mafuta. Kongwa Beef inazalishwa na Ranchi za Taifa Limited ( NARCO). Pata Kongwa Beef kwa afya ya Familia yako.

National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wakurugenzi ya NARCO inayoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Mhandisi Cyprian Luhemeja imekuja na Mpango Kabambe wa Unenepeshaji wa Mifugo katika Ranchi ya Mwisa II, Kagera kwa ajili ya Soko la Kimataifa. Mpango huu utawaongeza wafugaji nchini wigo wa soko la mifugo πŸ‘πŸ‘πŸ‘

National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

Imekuwa ni furaha kubwa kutembelewa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ranchi ya Kongwa leo tarehe 26.07.2022. Mzee Kikwete ni mdau muhimu wa Kongwa Beef na Sekta ya Mifugo kwa ujumla. Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania.πŸ’ͺ

Imekuwa ni furaha kubwa  kutembelewa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ranchi ya Kongwa leo tarehe 26.07.2022. Mzee Kikwete ni mdau muhimu wa Kongwa Beef na Sekta ya Mifugo kwa ujumla. 

Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania.πŸ’ͺ
National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Ijumaa ya Kongwa Beef. Kila mtu habari ni Kongwa Beef. Kongwa Beef ni nyama asilia yenye ubora wa Ki-mataifa kutoka Ranchi za Taifa, Tanzania. Weka oda yako kupitia simu namba 0787831241. Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania. πŸ’ͺ

Leo ni Ijumaa ya Kongwa Beef. Kila mtu habari ni Kongwa Beef. Kongwa Beef ni nyama asilia yenye ubora wa Ki-mataifa kutoka Ranchi za Taifa, Tanzania. Weka oda yako kupitia simu namba 0787831241.

Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania. πŸ’ͺ
National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wanaendelea kumiminika katika Banda la Ranchi za Taifa ( NARCO) katika Maonesho ya Nane Nane, Mbeya ili kupata elimu ya Ufugaji wa kibiashara na wenye tija na kupata ofa ya Madume ya borani kwa bei ya punguzo la asilimia 14. πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Leo ni Jumamosi ya Kongwa Beef. Kila mtu habari ni Kongwa Beef. Ukila Kongwa Beef umekula nyama asilia yenye ubora wa Ki-mataifa kutoka Ranchi za Taifa, Tanzania. Weka oda yako kupitia simu namba 0787831241. Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania. πŸ’ͺ

Leo ni Jumamosi ya Kongwa Beef. Kila mtu habari ni Kongwa Beef.  Ukila Kongwa Beef umekula nyama asilia yenye ubora wa Ki-mataifa kutoka Ranchi za Taifa, Tanzania. Weka oda yako kupitia simu namba 0787831241. 

Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania.  πŸ’ͺ
National Ranching Company Limited (NARCO) (@narcotanzania) 's Twitter Profile Photo

Jambo Tanzania, habari ni Kongwa Beef. Maduka yetu yako wazi kukuhudumia. Weka oda yako kupitia simu namba 0787831241. Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania. πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Jambo Tanzania, habari ni Kongwa Beef.  Maduka yetu yako wazi kukuhudumia. Weka oda yako kupitia simu namba 0787831241. 

Kongwa Beef ndiyo habari ya Tanzania.  
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½