Sir.Mwita (Gwiji) (@mwitasir) 's Twitter Profile
Sir.Mwita (Gwiji)

@mwitasir

Teaching Geography
|MC (MCEE) |
Football Coach

ID: 1161691123494072327

linkhttps://youtube.com/@mgingatv1169?si=BljqEjj01fP8uV3R calendar_today14-08-2019 17:28:41

22,22K Tweet

5,5K Followers

6,6K Following

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Jana nimemskiliza vizuri kabisa Mukwala, itoshe Kusema Simba tunaenda Kushinda Kwa Kishindo leo, wachezaji wetu wamejipanga Kishujaa.

Jana nimemskiliza vizuri kabisa Mukwala, itoshe Kusema Simba tunaenda Kushinda Kwa Kishindo leo, wachezaji wetu wamejipanga Kishujaa.
Sir.Mwita (Gwiji) (@mwitasir) 's Twitter Profile Photo

Inasemekana kuwa kwa sasa style pendwa ya kushangilia goli Tanzania ni hii ya Mukwala ya kuruka sarakasi. Yaani kila akifungwa watu wanasubili apige sarakasi Ndiyomaana juzi alipofunga alidash kama anaenda kuchukua mpira apeleke kati akakumbuka mashabiki wanasubiri sarkasi๐Ÿ˜€

Inasemekana kuwa kwa sasa style pendwa ya kushangilia goli Tanzania ni hii ya Mukwala ya kuruka sarakasi. Yaani kila akifungwa watu wanasubili apige sarakasi
Ndiyomaana juzi alipofunga alidash kama anaenda kuchukua mpira apeleke kati akakumbuka mashabiki wanasubiri sarkasi๐Ÿ˜€
Sir.Mwita (Gwiji) (@mwitasir) 's Twitter Profile Photo

Tukizunguumza kimichezo (football) kabisa lile siyo kosa, ni kitendo cha kawaida sana kwenye football, binafsi bado nashangaa san watu wanaomshambilia huyu jamaa. Mtu huweza kukosa goli akiwa yeye na goli kabisa sembuse ile