Sammy Mwaura
@mwaurasir
Station Manager,Radio journalist and a current affairs Presenter.
ID: 1550047921
27-06-2013 07:38:53
476 Tweet
455 Followers
1,1K Following
Hewani Acha ikae Officialprincelucky #JioniBomba anita santuri #sikilizasauti #sautiyaumma #Staysafe 94.2FM Mombasa, 103.4FM Voi, 103.3 FM Malindi/Galole 106.7FM Lamu, Online radio sautiyapwani.co.ke Studio lines: 0732 942 942 / 0712 942 942 SMS line: 0769 228 281
Thank you Faiba Mobile for coming through, looking forward to do more of these #SikilizaSauti #sautiyaumma #FaibaKwaMwendoFastaFasta #FaibaDataConnectFastaFasta
Mtafiti Christopher Nyundo kutoka KEMRI-Wellcome yupo kwenye Studio Zetu. #SikilizaSauti #sautiyaumma #AfyaThursday
Mtafiti Christopher Nyundo kutoka KEMRI-Wellcome aleza umuhimu wa Habari kwa Jamii. #SikilizaSauti #sautiyaumma #AfyaThursday
"KEMRI-Wellcome hatujssnza kutafiti kuhusu ugonjwa wa matende" Christopher Nyundo #sautiyaumma #staysafestayhome #SikilizaSauti
"Ukosefu wa elimu kwa Jamii kuhusu shirika La KEMRI-Wellcome ni changamoto kwa Watafiti wetu" Christopher Nyundo #SikilizaSauti #sautiyaumma #AfyaThursday #Staysafe
'' Watafiti wetu wamepitia mafunzo maalum na hawawezi vujisha habari wanazokusanya'' Christopher Nyundo kutoka KEMRI-Wellcome #SikilizaSauti #sautiyaumma #AfyaThursday
"Hatujssnza kutafiti kuhusu ugonjwa wa matende" Christopher Nyundo kutoka KEMRI-Wellcome
Dr.Charles Agoti kutoka KEMRI-Wellcome aeleza safari yake ya utafiti na kwamba utafiti ni kiungo muhimu katika jamii...
Tayari wageni kutoka KUDHEIHA WORKERS na STRETCHERS YOUTH ORGANIZATION na #SolidarityCenter wapo studioni kuongelea haki za wafanyi kazi wahamiaji. #SikilizaSauti #SautiYaUmma
"Sisi kama KEMRI tunafanya utafiti unaohusiana na afya ya binadamu" Betty Kalama KEMRI-Wellcome
"Utafiti haulengi kunufaisha mtu binafsi na kwamba unanufaisha jamii nzima" Betty Kalama KEMRI-Wellcome
"Usile kama watu wanakuona" A.M. Abdalla aeleza... Solidarity Center KUDHEIHA WORKERS STRETCHERS YOUTH ORGANIZATION