Falsafa Baba! (@mwanafa) 's Twitter Profile
Falsafa Baba!

@mwanafa

MC with an MSc | Family Man | Rapper | A Business-MAN | Member of Parliament - Muheza Constituency | Deputy Minister - Culture, Arts & Sports |

ID: 82710700

linkhttps://bfan.link/sio-kwa-ubayaFeatHarmonize calendar_today15-10-2009 20:55:10

97,97K Tweet

780,780K Followers

453 Following

Ommy Dimpoz (@ommydimpoz) 's Twitter Profile Photo

I wish all the best to my brother Eric Bailly on His new Chapter Maisha ni Connection Falsafa Baba! Alinitambulisha kwa Eric then Eric akanitambulisha kwa Timu nzima hata mimi ukitaka kupiga picha na Mayele Connection nnayo ๐Ÿ˜ njoo ofisini kwangu GSM

Neymah-joh (@neymahjoh) 's Twitter Profile Photo

Wakikuuliza unaendeleaje waambie vizuri zaidi ya jana vizuri zaidi ya wao. Mungu ana maguvu sana, miluzi mingi na kubwa la mbwa sipotei. Mipango ya miaka chungu nzima na dira hunitoin yanaitika yakijisikia maisha usiyavalie kikoi na siyo lazima yakubali kwani unayadai? โ™ชโ™ชโ™ช

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

HONGERENI JamiiForums kwa kuanzisha โ€JamiiCheckโ€โ€ฆ leo mtu akilishwa matango pori mtandaoni akaaruka nayo, kaamua mwenyewe, kwani mmewapa watumia mtandao fursa ya kucheck usahihi wa habari/taarifa!๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Ndio Habari ya mjini! Hongereni sana TBC kwa ubunifu huu!๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ