
Mtemi Gilberto🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mtemigilberto
I love three things , The Sun for the day , The Moon for the night, And you forever
ID: 1237817896878907394
11-03-2020 19:09:29
22,22K Tweet
5,5K Takipçi
3,3K Takip Edilen

It's a Thursday siku ya TBT. Tuko ndani ya number one breakfast show #AlexNaWilbrodaMilele hadi 10.00am. Unaskiza ukiwa wapi? ALEX MWAKIDEU Wilbroda (Jacquey Nyaminde)



Nikiwa hapa sango mawetatu tayari nko ndani mheshimiwa kamau munywa salimia sister Zain Patel wa seregeya mwalimu George barasa wa nzioa village sango Bomba Bin Shwari (UstadhGuru shabikishakiki) Mtemi Gilberto🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wamalwanickson6 Ladytosha Rozy Radio Citizen #goodeveningkenya Kamau Munyua


It's a brand new week hapa #AlexNaWilbrodaMilele ukiwa nami hadi saa nne asubuhi. Unategea ukiwa wapi? Milele FM Wilbroda (Jacquey Nyaminde) Dickson Mpapale


Karibu kwenye Maisha Asubuhi na Solomon zully na Shugaboy KE. 6am - 10am. #ZullyNaShugaboy #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio

Good morning. Captain wako ALEX MWAKIDEU yupo ndani ya number one breakfast show #AlexNaWilbrodaMilele tayari kukuelimisha na kukuburudisha. Unategea ukiwa wapi?





Staarabika naye Anne Njogu kutoka saa nne hadi saa sita mchana. #Staarabika #RadioZaidiYaRadio


Kazi Burudani o'clock cynthia anyango na Rebeccah Cherotich . Upoo ? Jisajili tukisonga nalo #KaziBurudani ^MJ


Ladies day inatawala ndani ya Kazi Burudani-KBC Radio Taifa-92.9Fm! Rebeccah Cherotich KBC Radio Taifa #kaziburudani!





Yesaiya! Design ya leo Kama kawa #GyaldemWednesday na @mbusiidehhsc Débora Silva Dj Nyc Kenya #MbusiiNaLionTekeTeke #GyaldemWednesday #OngeaUsikike


Jamani kwema? Leo Mtoto Mzuri-SuperChonnie nipo Lonely...,😌 Mubabaz Captain Njoroge Ng'ang'a hayupo.... Nahitaji Company yako kwa sana... Karibu #Tafrija KBC Radio Taifa Hii ni Kubwa na Si Chocha''"


#Tafrija Imeanza... Mtoto Mzuri-SuperChonnie leo yupo Solo.. Njoo ndani keep her Company.. KBC Radio Taifa 'Hii Ni Kubwa na si chocha'


NP: AFRICAN BEAUTY by Nameless Ingia ndani.. #Tafrija ndo habari Mjini KBC Radio Taifa Mtoto Mzuri-SuperChonnie nafanya ya kwangu kiustadi zaidi.. we njoo tu enjoy.. 'Hii Ni Kubwa na si chocha'


Hapa ndipo kwengine sopo😅😅. Kama uko kwa sopo, mambo yanaendelea aje? Tuko ndani ya Milele drive na Chris Da Bass na Eng. Mca Tricky . Unatupata ukiwa wapi? #ChrisNaTrickyMilele
