_Mshery🇹🇿 (@mshery28) 's Twitter Profile
_Mshery🇹🇿

@mshery28

Professional Footballer •, CLUB : Young Africans ( @YoungAfricansSC) C Nationality : Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

ID: 1518932630833704961

calendar_today26-04-2022 12:39:09

182 Tweet

32,32K Followers

26 Following

_Mshery🇹🇿 (@mshery28) 's Twitter Profile Photo

Thamani ya kuomba kwako haipo kwenye kupanga vizuri maombi yako. Thamani ya kuomba kwako ipo katika imani ambayo umeibeba wakati unaomba.M/mungu akatujaalie kher katika msimu huu mpya wa 23/24

Thamani ya kuomba kwako haipo kwenye kupanga vizuri maombi yako.
Thamani ya kuomba kwako ipo katika imani ambayo umeibeba wakati unaomba.M/mungu akatujaalie kher katika msimu huu mpya wa 23/24
_Mshery🇹🇿 (@mshery28) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume mpambanaji asiyekata tamaa siku zote akitoboa kimafanikio kipaumbele chake cha kwanza ni familia yake na sio kuwavutia watu wengine.🔰

Mwanaume mpambanaji asiyekata tamaa
siku zote akitoboa kimafanikio kipaumbele
 chake cha kwanza ni familia yake na sio kuwavutia watu wengine.🔰
_Mshery🇹🇿 (@mshery28) 's Twitter Profile Photo

Watu wanaokuchukia wanaweza kuwashawishi hata watu wengine wakuchukie, but the Good News is... Hawawezi kumshawishi Mungu aache kukubariki...Ijumaa Qareem🤍

_Mshery🇹🇿 (@mshery28) 's Twitter Profile Photo

Takribani miez 9 bila mechi yoyote ya ushindani na haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo sasa. Alhdulilah sasa hivi nipo fiti na nipo Tayari kuipambania bendera ya nchi yangu na nembo ya timu yangu Young Africans SC

Takribani miez 9 bila mechi yoyote ya ushindani na haikuwa
rahisi mpaka kufikia hapa nilipo sasa.
Alhdulilah sasa hivi nipo fiti na nipo Tayari
kuipambania bendera ya nchi yangu na nembo ya timu yangu <a href="/Yanga1935/">Young Africans SC</a>
_Mshery🇹🇿 (@mshery28) 's Twitter Profile Photo

kwa namna yoyote ile jitaidi sana maisha yako yawe ni yenye kutawaliwa na usiri kwenye kila unalofanya,...dunia ya sasa binaadam tunachekeana tu usoni ila moyoni chuki ni kubwa mno..😔