Ideas Adviser 💡🇹🇿 (@mshauriserikali) 's Twitter Profile
Ideas Adviser 💡🇹🇿

@mshauriserikali

🧠Government Adviser | Open Minded | Business Ideas🏔️Please Book Your Tanzanian Tour & Safari With Me ✈️ VISA Assistant & Abroad Jobs Agent 🇺🇸🇨🇦🇪🇺🇦🇪

ID: 1199835226819760128

linkhttp://wa.me/255759983030 calendar_today27-11-2019 23:40:02

14,14K Tweet

22,22K Followers

788 Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mwezi mzima wa machozi, mateso, damu na mauwaji ya kutisha Tanzania. May we not keep quiet until justice is served & our nation reclaimed. Mungu ibariki Tanzania.

Chacha Heche (@chacha_heche) 's Twitter Profile Photo

African Union mnalalamikia na kutotambua serikali ya mpito ya jeshi la GUINEA -BISSAU ambayo imeingia kistarabu bila kisa cha hata mende kuuwawa Wakati inatambua serikali iliyoigiza uchaguzi fraud, mauwaji , na kuoga damu Julius Sello Malema hakukosea kuwaita club ya kulindana

<a href="/_AfricanUnion/">African Union</a>  mnalalamikia na kutotambua serikali ya mpito ya jeshi la GUINEA -BISSAU ambayo imeingia kistarabu bila kisa cha hata mende kuuwawa 
Wakati inatambua serikali iliyoigiza uchaguzi fraud, mauwaji , na kuoga damu 
<a href="/Julius_S_Malema/">Julius Sello Malema</a> hakukosea kuwaita club ya kulindana
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MIKA LUCAS CHAVALA. Kitu ambacho anafikiri Mika Chavala kinafanana sawa na fikra za waasisi wa mataifa mengi ya Afrika na waasisi wa Pan-Africanism ambao wengi walikuwa na mtazamo wa kuwa na Afrika moja yenye nguvu moja. Fikra za MIKA CHAVALA ni sawa na walivyokuwa

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Jana nimejaribu kuwatembela kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea . Kuwatia moyo na kuwambia hawako peke yao katika vita hii. Pia kuwambia Watanzania wako pamoja nao na wanawaombea. Lakini serikali dhalimu ya ccm wamekataa nisiwaone hawa vijana. Nataka kutoa wito kwa

Larry Madowo (@larrymadowo) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: 17 Western countries ask the Tanzanian government to “urgently release all the bodies of the dead to their families, to further release all political prisoners.” Tanzania silenced the local media to hide this but we kept reporting and the world is paying attention

Larry Madowo (@larrymadowo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the country if Meta refused to block accounts of 3 activists. Meta removed two of them and restricted the third

Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the country if Meta refused to block accounts of 3 activists.

Meta removed two of them and restricted the third
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani. Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win. Hakuna kurudi nyuma…..

Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani. 

Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9.  TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win. 

Hakuna kurudi nyuma…..
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Bwana Jaji Mkuu, Masaju, unaweza kusikiliza maneno ya ROSTAM AZIZ ambaye alizituhumu Mahakama kupokea maelekezo kutoka Serikalini na kwamba ndiyo sababu kubwa wafanyabiashara wanakwenda katika Mahakama za kimataifa. Kwa hiyo jibu la nani anasema Mahakama hazipo huru, USITUSUMBUE

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TARIME POLISI wameua kijana. Vijana wamegoma kuzika na kuandamana kupeleka Mwili kituo cha polisi. NB: "SAMIA MUUWAJI" NDIO NGOMA YA MTAA. REPOST 200 TUTAKIWEPO🫵😎

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Nchi yetu haijakosa pesa na wala kuuza hazina zetu sio suluhisho la matatizo yetu. Bila kuwa na mifumo ya kulinda tulicho nacho hata tupate kikubwa vipi bado kitapotea. Yaani unanunua magari ya milioni 500 kwa ajili ya mtu ambae haizalishii Serikali hata milioni 50 then what?

Ideas Adviser 💡🇹🇿 (@mshauriserikali) 's Twitter Profile Photo

SAMAHANI KAKA NAOMBA NIKUULIZE. Umewahi kukaa Mahabusu muda gani? Pia umewahi kusimama Kizimbani kwa Makosa ya kusingiziwa na Serikali ukakaa Jela hata siku moja Mkuu? Naomba majibu yakiyonyooka sio Stori 📌 Ukiweza kunijibu kuna kitu nitakuelewesha