Msenangu FM (@msenangufm) 's Twitter Profile
Msenangu FM

@msenangufm

99.5FmMsa // Kwale 102.5Fm 101.0FmKilifi // 92.5Fm Malindi 94.7FmLamu //102.5Voi

ID: 1130165425986314241

calendar_today19-05-2019 17:36:49

14,14K Tweet

1,1K Followers

62 Following

Msenangu FM (@msenangufm) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke mmoja kutoka mtaa wa Kashani,wadi ya Bamburi kaunti ya Mombasa jana usiku alianguka na kuzirai baada ya kugundua kwamba ardhi aliyonunua akiwa Uarabuni imeuzwa na mamake mzazi.

Kutoka kwa MCA mpaka kwa rais wa Jamhuri ya Kenya, vijana mnaeza chukuwa uongozi. Na sio kuchukuwa ule ako na sauti kubwa kwa sababu hiyo ndio makosa yetu.

Sina shaka ushindani itakuwa wetu sote. Tumejipanga sawa, tuwe tumejiandaa kufanya uchaguzi wa kitaifa 2027. -Uhuru Kenyatta

Sina shaka ushindani itakuwa wetu sote. Tumejipanga sawa, tuwe tumejiandaa kufanya uchaguzi wa kitaifa 2027.
-Uhuru Kenyatta
Msenangu FM (@msenangufm) 's Twitter Profile Photo

My pledge to you, our party leader, to fellow party members and to the people of Kenya is this: if I am given the honour of carrying the flag of the United Opposition, and entrusted to lead this party to electroral victory, we will form a gov't that builds on the foundation

Let us build a Kenya where it no longer matters how old you are, what gender you are, what your religious beliefs are, or where you come from, what matters is the value of your contribution to our nation. -Fred Matiang'i

Let us build a Kenya where it no longer matters how old you are, what gender you are, what your religious beliefs are, or where you come from, what matters is the value of your contribution to our nation.
-Fred Matiang'i
Msenangu FM (@msenangufm) 's Twitter Profile Photo

Mwakilishi wa wadi ya Shanzu Allen Katana amepongeza hatua ya kufunguliwa kwa afisi rasmi ya idara ya upelelezi wa jinai katika kituo cha polisi cha Bamburi.

Katibu katika idara ya masuala ya vijana Fikirini Jackobs, ameelezea imani kwamba mradi wa NYOTA uliozinduliwa na rais William Ruto leo utawafaidi pakubwa vijana.

Rais William Ruto amezindua rasmi mradi wa nyota wenye thamani ya shilingi bilioni tano unaolenga kuwawezesha vijana kote nchini.

Click epaper.peopledaily.digital or download the People Daily App here bit.ly/3ZuCsbs for these and more stories! #PeopleDailyKenya #PeopleDailyKe

Voting is meant to create change, but do Kenyans still believe that? With voter registration numbers dropping, are we losing faith… or just tired of empty promises? Join LUCKY OLUOCH-SAQIB, Tatiana Gicheru, and Fanya Mambo, hosted by Sir Alex and Njeri Wahiu, as we unpack

Voting is meant to create change, but do Kenyans still believe that? With voter registration numbers dropping, are we losing faith… or just tired of empty promises?

Join LUCKY OLUOCH-SAQIB, Tatiana Gicheru, and Fanya Mambo, hosted by Sir Alex and Njeri Wahiu, as we unpack
Msenangu FM (@msenangufm) 's Twitter Profile Photo

Luciano is landing in Nairobi this week, and we’re excited to welcome him🥳🎉 Media houses and content creators are invited to meet the Messenjah and hear from him firsthand as he touches down in Kenya. Let’s give him that warm Kenyan reception. 🇯🇲❤️🇰🇪

Luciano is landing in Nairobi this week, and we’re excited to welcome him🥳🎉
Media houses and content creators are invited to meet the Messenjah and hear from him firsthand as he touches down in Kenya. Let’s give him that warm Kenyan reception. 🇯🇲❤️🇰🇪