❤humble girl❤
@msartemisia45
I love football⚽️ (man u $ simba sc)
I love music❤🎶
ID: 1637886134934970370
20-03-2023 18:38:19
2,2K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following
REPOST 🙏🏽🥰 Sio kila tajiri ana moyo wa kusaidia lakini CHILLEH MR SHITCOIN ametuonyesha tofauti 🙌 Alitumia muda wake kuwatembelea na kuwaburudisha watoto yatima Kigamboni. Moyo kama huu ndio unaojenga taifa 💖 #ChangiaTabasamu
Support kwa REPOST🥰 Hivi karibuni China imetangaza sera ya bidhaa kuingia bila kulipiwa ushuru wa forodha kwa bidhaa kutoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia nayo ikiwemo Tanzania! Follow Akaunti ya ubalozi wa China Chinese Embassy in Tanzania
Hongera kwa CHILLEH MR SHITCOIN Ameonyesha moyo wa upendo na utu wa hali ya juu kwa kwenda vijijini kutoa msaada kwa watu wenye uhitaji. Kitendo chake ni kielelezo cha moyo wa huruma na kujitolea kwa jamii. 🙏💪
kujifunza kutoka China kwa kuboresha uhusiano kati ya vyuo na viwanda, kuhakikisha mitaala inazingatia ujuzi unaohitajika sokoni, na kuwekeza katika mafunzo ya vitendo na teknolojia ili wanafunzi wawe tayari kujiajiri au kuajiriwa mara baada ya kuhitimu. Follow Chen Mingjian 陈明健