MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile
MCGW

@mombasacgw

Award winning page to highlight issues residents are facing that need solutions ASAP. Winner 2016&2017 Best use of social Media - Mombasa Business Awards.

ID: 366221557

linkhttps://www.facebook.com/MombasaCountyWatch/ calendar_today01-09-2011 19:57:05

20,20K Tweet

9,9K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Mohammed Ali, CBS, HSC (@mohajichopevu) 's Twitter Profile Photo

Unbelievable Remarks by the so called Secretary General of a Party we once held high hopes for! This is not Politics of Economy my friend, this is sheer Politics of Power. Kenyans Today and Their Generations to Come Will Remember You For It and History Will Not Treat You

MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya Sri Lanka, Browns Plc, inayomiliki mashamba ya majani chai katika Kaunti za Kericho, Bomet na Kiambu, imetangaza mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya wafanyakazi 2,000. Uamuzi huo ni sehemu ya mageuzi mwaka mmoja baada ya kampuni hiyo kuchukua usimamizi wa mashamba hayo.

Kampuni ya Sri Lanka, Browns Plc, inayomiliki mashamba ya majani chai katika Kaunti za Kericho, Bomet na Kiambu, imetangaza mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya wafanyakazi 2,000.
Uamuzi huo ni sehemu ya mageuzi mwaka mmoja baada ya kampuni hiyo kuchukua usimamizi wa mashamba hayo.
MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

🇬🇧🇰🇪 Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko aheshimiwa katika House of Lords – London, akituzwa tuzo tatu kwa uongozi wa mabadiliko, kazi za kibinadamu na maendeleo endelevu. 🌍🏆 #MikeSonko #HouseOfLords #London #Leadership #Humanitarian #SustainableDevelopment #Sonko

🇬🇧🇰🇪 Aliyekuwa Gavana wa Nairobi <a href="/MikeSonko/">Mike Sonko</a>  aheshimiwa katika House of Lords – London, akituzwa tuzo tatu kwa uongozi wa mabadiliko, kazi za kibinadamu na maendeleo endelevu. 🌍🏆

#MikeSonko #HouseOfLords #London #Leadership #Humanitarian #SustainableDevelopment #Sonko
MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

CARTELS lazima zimalizwe kabisa katika sekta ya afya! 🩺🔥 Hon. Aden Duale, EGH haendi popote , endelea na msimamo huo thabiti. FINYA KABISA CARTELS! Ufisadi, wizi na magenge ya kupora pesa za wagonjwa lazima yakome mara moja. #MombasaInfoDrop #FinyaKabisaCartels #EndCorruption

MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Ruto Yapanga Kutoza Wakenya Kodi Mpya ya Nishati Wakenya watalazimika kulipa zaidi kwa mafuta na umeme baada ya serikali kutangaza mpango wa kutoza ushuru mpya kupitia Mfuko Shirikishi wa Nishati , yaani Consolidated Energy Fund. #MombasaInfoDrop #Ruto #Raila #Nyeri

Serikali ya Ruto Yapanga Kutoza Wakenya Kodi Mpya ya Nishati
Wakenya watalazimika kulipa zaidi kwa mafuta na umeme baada ya serikali kutangaza mpango wa kutoza ushuru mpya kupitia Mfuko Shirikishi wa Nishati , yaani Consolidated Energy Fund.
#MombasaInfoDrop #Ruto #Raila #Nyeri
MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

NDEGE YAANGUKA KWALE Ndege yenye usajili 5Y-CCA iliyokuwa na watu 12 imeanguka eneo la Tsimba Golini, Kaunti ya Kwale, ikitoka Diani kuelekea Kichwa Tembo, Maasai Mara. #MombasaInfoDrop #Kwale #AjaliYaNdege #Kenya

MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

MOMBASA INFLUENCER DIGIDA AFARIKI DUNIA Mtengeneza maudhui wa TikTok Mariam Antonet Lwande, maarufu kama Digida 001, amefariki dunia saa chache zilizopita. Roho yake ipumzike kwa amani. #MombasaInfoDrop #MombasaNews #Digida001 #RIPDigida #Kenya #TikTok #Influencer #RIP

MOMBASA INFLUENCER DIGIDA AFARIKI DUNIA
Mtengeneza maudhui wa TikTok Mariam Antonet Lwande, maarufu kama Digida 001, amefariki dunia saa chache zilizopita.
Roho yake ipumzike kwa amani.

#MombasaInfoDrop #MombasaNews #Digida001 #RIPDigida #Kenya #TikTok #Influencer #RIP
MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

#TanzaniaElections #UchaguziTanzania #TanzaniaDecides #TanzaniaVotes #SamiaSuluhu #Tanzania2025 #KuraYakoSautiYako #TanzaniaNews #TanzaniaUpdates #Watanzania

MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

Zohran Mamdani, 34, Defeats Andrew Cuomo to Become N.Y.C.’s First Muslim Mayor in Historic Election Zohran Mamdani, a 34-year-old Democratic socialist, has won the New York City mayoral race, marking a historic rise from an unknown state lawmaker to a national political figure.

Zohran Mamdani, 34, Defeats Andrew Cuomo to Become N.Y.C.’s First Muslim Mayor in Historic Election
Zohran Mamdani, a 34-year-old Democratic socialist, has won the New York City mayoral race, marking a historic rise from an unknown state lawmaker to a national political figure.
MCGW (@mombasacgw) 's Twitter Profile Photo

Rais William Ruto amesema hajajutia kuagiza polisi kuwapiga risasi miguuni waandamanaji, akizungumza na Al Jazeera. Kauli yake imeibua hoja nzito kuhusu matumizi ya nguvu na haki za binadamu katika maandamano. #MombasaInfoDrop #HakiZaBinadamu #Maandamano #Kenya #Ruto