Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile
Mkuki na Nyota

@mkukinanyota

The most prolific publishing house in Tanzania. Based in Africa and bringing our ideas and voices to the ๐ŸŒ PAY No.60485661. Newsletter: bit.ly/MkukiNews

ID: 183547294

linkhttp://www.mkukinanyota.com calendar_today27-08-2010 07:58:57

5,5K Tweet

9,9K Followers

815 Following

Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

Thank you for your kind words for our Chairman Nouriya ๐Ÿ™๐Ÿพ he has indeed dedicated his lifeโ€™s energy and talents towards this mission and we are thankful for it.

Joel Ntile (@joelntile) 's Twitter Profile Photo

Nyerere asingekuwa mwanasiasa na kujikita kwenye uandishi yawezekana angekuwa mwanafasihi mashuhuri sana. Ukisoma tafsiri ya Shakespeare ya Julius Caesar aliyoifanya inaonesha alikuwa na sanaa nzuri ya kiuandishi. Nitafurahi sana kusoma hii tafsiri yake nyingine ya kitabu๐Ÿ”ฅ

Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

My heart breaks nikipokea email au message kwenye platform zote kama hii.. Na ziko MINGI!! We need to do more for our youth - sasa tangu 2021, anasurvive vipi? Hii wiki ya vijana - tukapata SULUHISHO. What do we do with our youth!!!

My heart breaks nikipokea email au message kwenye platform zote kama hii..

Na ziko MINGI!! 

We need to do more for our youth - sasa tangu 2021, anasurvive vipi? 

Hii wiki ya vijana - tukapata SULUHISHO. What do we do with our youth!!!
Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

Tunayofuraha kukukaribisha kwenye uzinduzi wa kitabu cha historia na falsafa ya mwenge wa uhuru kilichoandikwa na Job M. Lusinde. Kitazinduliwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uzinduzi huu unafanyika katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Tunayofuraha kukukaribisha kwenye uzinduzi wa kitabu cha historia na falsafa ya mwenge wa uhuru kilichoandikwa na Job M. Lusinde. Kitazinduliwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uzinduzi huu unafanyika katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

Tuna collection mahsusi ya kumsoma na kumjua zaidi Nyerere kwenye tovuti yetu: mkukinanyota.com Moja kwa moja: mkukinanyota.com/celebrating-nyโ€ฆ

Mark J. Mwandosya (@markmwandosya) 's Twitter Profile Photo

Today,25 years ago, Mwalimu Julius Nyerere, father of the nation #Tanzania, went to heaven. In Nov. 1993 as Permanent Secretary for Industries and Trade I was on a tour of Mara when he invited me and my team for breakfast at Butiama.I will forever cherish the moment. RIP Mwalimu

Today,25 years ago, Mwalimu Julius Nyerere, father of the nation #Tanzania, went to heaven. 
In Nov. 1993 as Permanent Secretary for Industries and Trade I was on a tour of Mara when he invited me and my team for breakfast at Butiama.I will forever cherish the moment. RIP Mwalimu
Mkuki na Nyota (@mkukinanyota) 's Twitter Profile Photo

KITABU KIPYA tulichochapisha kimezinduliwa leo na Mhe. Rais Samia Suluhu Kitabu hiki kinaelezea Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru na kimeandikwa na Balozi Job Lusinde. Kitabu kinapatikana mkukinanyota.com

KITABU KIPYA tulichochapisha kimezinduliwa leo na Mhe. Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 

Kitabu hiki kinaelezea Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru na kimeandikwa na Balozi Job Lusinde. Kitabu kinapatikana mkukinanyota.com