Milele FM
@milele_fm
Milele Fm, Washa Milele, Fika Kilele, is the leading Swahili Radio station in Kenya .
ID: 360486564
https://k24.digital/radio/ 23-08-2011 08:43:48
839,839K Tweet
390,390K Followers
963 Following
Wageni wetu wa leo ni Mike Njeru, Maureen Koech pamoja na Mr Lenny. Uko na swali gani kwa wageni #ShowKonki Malkia wa kizazi kipya ๐ MULAMWAHโข
Leo dereva hana makanga wake. Karibu ndani ya #MkamburiNaTrickyMilele hadi 10.00pm. Unatusikiliza ukiwa wapi? CAROLINE MKAMBURI KIMEGHO
Ni jambo gani linakufanya usitoke ndani ya hiyo relationship/ndoa? #MkamburiNaTrickyMilele CAROLINE MKAMBURI KIMEGHO
Karibu ndani ya #MileleMidmorningย na Mercy Tyra Murengu na tuko ndani mpaka saaa nane kamili. Unafukuza baridi ukiwa wapi?
What's the plan ? Tembea Kenya for breathtaking hikes and endless adventures in Naivasha Visit: tembeakenya.ke #TembeaKenya #BucketlistDestination #visitKE Kenya Tourism Board
Karibu ndani ya show konki kuanzia 2.00pm hadi 6.00pm. Unasikiliza show ukiwa wapi? #ShowKonki Malkia wa kizazi kipya ๐ MULAMWAHโข