Mfalme Njiwa ๐Ÿ‘‘ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mfalme_Njiwa) 's Twitter Profileg
Mfalme Njiwa ๐Ÿ‘‘ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@Mfalme_Njiwa

Kila kilichopo duniani kina maana! ||

120K suspended || please follower me! ||

I love you all

ID:1679129094317912067

calendar_today12-07-2023 14:02:42

689 Tweets

249 Followers

264 Following

Queen Online Business(@QueenOnlineBiz) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ™Nisaidie Repost๐Ÿฅฐ

SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ

~Brand name; VANS๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›๏ธ

~Size; 40 41 42 43 44 45

โžก๏ธPrice; 65000/=

~Delivery available
๐Ÿ“Kariakoo
๐Ÿ“ž 0623346245

๐Ÿ™Nisaidie Repost๐Ÿฅฐ #QUALITY SHOES๐Ÿ”ฅ๐Ÿ›๏ธ ~Brand name; VANS๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›๏ธ ~Size; 40 41 42 43 44 45 โžก๏ธPrice; 65000/= ~Delivery available ๐Ÿ“Kariakoo ๐Ÿ“ž 0623346245
account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu walitwambiaga Huyu anakuja kuwa Msemaji wa Serikali, humu ndani uongo ni mwingi sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kuna watu walitwambiaga Huyu anakuja kuwa Msemaji wa Serikali, humu ndani uongo ni mwingi sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
account_circle
RAISI WA BUZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@raisi_wa_buza2) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa umetulia tu club saa nane ya usiku alafu uone text ya Baba Mwenye nyumba 'kwanini unahama wakati kodi umelipa juzi tu'๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
Lil_Dee๐Ÿ˜…(@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

Good morning...!โ˜ป

โ€ข Vita ngumu zaidi ni kati ya kile unachokijua kichwani mwako na kile unachohisi moyoni mwako.

โ–ก Uwe na siku njema.

Good morning...!โ˜ป โ€ข Vita ngumu zaidi ni kati ya kile unachokijua kichwani mwako na kile unachohisi moyoni mwako. โ–ก Uwe na siku njema.
account_circle
Magrelovath(@Magrelovath) 's Twitter Profile Photo

Good morning ๐Ÿ˜Š

Kwa bidii ,si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana;
kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu;๐Ÿ™
~Warumi 12-11-12

Good morning ๐Ÿ˜Š Kwa bidii ,si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana; kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu;๐Ÿ™ ~Warumi 12-11-12
account_circle
Emma(@Egw_II) 's Twitter Profile Photo

Siku nyingine ya kukumbushana kuwa

Jali na tunza familia yako kwanza kabla ya kufurahisha watu.

Kumbuka

Mitaa husahau mema na haijali kuhusu wewe.

Siku nyingine ya kukumbushana kuwa Jali na tunza familia yako kwanza kabla ya kufurahisha watu. Kumbuka Mitaa husahau mema na haijali kuhusu wewe.
account_circle
Njiwapori ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 10k(@njiwapori_) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio sio kama chumvi,ukishaweka kwenye
Mboga muda huo huo inakolea. Mafanikio hayaji

Haraka, nisafari ndefu na yana hitaji uvumilivu...
Jitihada na kuwa na malengo juu ya kile unacho
Kifanya..baada ya hapo utaona Nuru ya mafanikio

account_circle
Njiwapori ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 10k(@njiwapori_) 's Twitter Profile Photo

Ila kwa huyu jamaa hapa tulipigwa .. Sina hakika
Kama huyu jamaa aliuwawa..
Hapa U.S.A walicheza kamchezo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ .

Jinsi wanavyopenda sifa hawa marekan wa muuwe
Afu wasimuoneshe..kama ilivo kuwa kwa gadafi na
Hussein sadamu..

Ninacho hisi kulikuwa kunamkwaruzano

Ila kwa huyu jamaa hapa tulipigwa .. Sina hakika Kama huyu jamaa aliuwawa.. Hapa U.S.A walicheza kamchezo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ . Jinsi wanavyopenda sifa hawa marekan wa muuwe Afu wasimuoneshe..kama ilivo kuwa kwa gadafi na Hussein sadamu.. Ninacho hisi kulikuwa kunamkwaruzano
account_circle