#MezaHuru (@mezahuru) 's Twitter Profile
#MezaHuru

@mezahuru

Sehemu Pekee Utapata Simulizi Za Kina Juu Ya Yaliyowahi Kujiri Katika Safari Ya Muziki Wetu Mpaka Sasa. Sikiliza Episode Mpya Kila Siku Ya IJUMAA 🎤 #MezaHuru

ID: 1553283923433635841

linkhttps://linktr.ee/mezahuru calendar_today30-07-2022 07:39:04

674 Tweet

458 Takipçi

0 Takip Edilen

Babuu (@zeanonymouspoet) 's Twitter Profile Photo

Jean Pierre Ndama #MezaHuru Janeth Isinike sister wa kitaa kabisa. Nakumbuka early days anatoka mtaani anaenda kula daladala kuwahi mazoezi/shows Pisi ya kwenda kweli kweli 😎

#MezaHuru (@mezahuru) 's Twitter Profile Photo

Mama ni mtu wa kusapoti vipaji vipya. Hapa alituletea Moja ya vijana wake wapya anaowasimamia, na akapiga akapela ya Ngoma za zamani za Twanga Pepeta, pamoja na tunzi zake mwenyewe. Unaweza msikia kwenye episode yetu mpya, kwa ku-bofya 🔗 kwa BIO! #MezaHuruNaAshaBARAKA #MezaHuru

Mama ni mtu wa kusapoti vipaji vipya. Hapa alituletea Moja ya vijana wake wapya anaowasimamia, na akapiga akapela ya Ngoma za zamani za Twanga Pepeta, pamoja na tunzi zake mwenyewe. Unaweza msikia kwenye episode yetu mpya, kwa ku-bofya 🔗 kwa BIO! 
#MezaHuruNaAshaBARAKA #MezaHuru
Godfrey Achireka Jr. (@1travela) 's Twitter Profile Photo

"Banza stone na Msafiri diof wanaimba bila kuandika( free style), Na zile melodies zao zinarokana na wao kusoma Madrada (kusoma kuran)..kuran ni ngumu na usomaji wake una melodies " - asha baraka kwenye #MezaHuru .. Haya maneno yanafanana na yale alosema master jay ! 😎

Mzee Zaidi (@esquiremk) 's Twitter Profile Photo

Kwenye #MezaHuru Asha BARAKA amesema Erasto Machine sasa yupo Tukuyu na si kwa Ubaya. Mkali alikuwa kwenye hit song ya kiongozi wa Tukuyu Kalala JR na Baba yake miaka hiyo. Inaitwa Nimekusamehe youtu.be/gQiZaOattnw?si… Jean Pierre Ndama 😁

General Jecha Lissu (@moruoking) 's Twitter Profile Photo

P funk produced Binti? Wow! This is what I've always said, proper documentation and giving credits where due. A classic Godfrey Achireka Jr. na Babuu mnaona credit hizo? Haihitaji kuuliza kwenye THE CLASSIC au #MezaHuru nani alipiga bass ama saxophone, it's all there. Salute 👊🏿

Mzee Zaidi (@esquiremk) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni moja ya Watu walikuwa wanajua mkubwa Baraka Msilwa ni mume wa Asha Baraka. Kingine, nilidhani King dodoo la Bouche (Mzee zaidi never end) alileta wanamuziki wengi wa Congo TZA. #MezaHuru wanadocument hii kitu siyo design. Big up kwa Pablo General Jecha Lissu

General Jecha Lissu (@moruoking) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday Sis Carola. Kwa wale wanaotaka kumfahamu zaidi Dada yetu na safari yake ya Muziki,tulifanya nae pod kwenye #MezaHuru siku za nyuma kidogo Link kwa Bio hapo!! #SisiHao

Happy birthday Sis Carola.
Kwa wale wanaotaka kumfahamu zaidi Dada yetu na safari yake ya Muziki,tulifanya nae pod kwenye <a href="/MezaHuru/">#MezaHuru</a> siku za nyuma kidogo
Link kwa Bio hapo!!
#SisiHao
General Jecha Lissu (@moruoking) 's Twitter Profile Photo

Not to blow our own trumpet,we did a podcast with Marlon Linje(Mhando's producer at that time) Unaweza sikiliza Kila mahali unasikilizia pod #MezaHuru linktr.ee/mezahuru