Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile
Dr Reginald Mengi Foundation

@mengifoundation

Welcome to the Dr Reginald Mengi Foundation (DRMF) page. Our Mission is to Honor, Empower and Inspire Persons with Disabilities in Tanzania.

ID: 1052089593884041216

linkhttp://www.drmengifoundation.org calendar_today16-10-2018 06:51:20

87 Tweet

219 Takipçi

30 Takip Edilen

Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Tunatoa wito kwa vyama vya siasa vyote kutoa nafasi kwa watu wenye ulemavu na hasa wanawake wenye ulemavu. Tunawakumbusha watu wenye ulemavu kukumbuka kuwa “NINAWEZA - I CAN”. Hivyo tunawahamasisha kujitokeza na kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi za majimbo na kata.

Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Watu wenye ulemavu ni sehemu ya jamii, tuwape ushirikiano. DRMF itawaunga mkono watu wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea nafasi za uongozi.

Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Wadhamini pamoja na wafanyakazi wa Foundation ya Dr. Reginald Mengi, tumepokea kwa majonzi na simanzi kubwa, taarifa za kifo cha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mzee wetu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa. Tunatoa… instagram.com/p/CDBrS3onkh7/…

Tanzania Autism Resource Centre (@autismcentretz) 's Twitter Profile Photo

It was a pleasure to meet the CEO and staff members of Dr Reginald Mengi Foundation We (Tanzania Autism Resource Centre) gave a short lecture on Autism and we discussed how we can work together in a near future #AutismCentreTZ #AutismAwareness #usonjitanzania

It was a pleasure to meet the CEO and staff members of <a href="/Mengifoundation/">Dr Reginald Mengi Foundation</a>

We (<a href="/AutismCentreTZ/">Tanzania Autism Resource Centre</a>) gave a short lecture on Autism and we discussed how we can work together in a near future

#AutismCentreTZ #AutismAwareness #usonjitanzania
Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Dr Reginald Mengi tunafuraha kubwa kuzindua rasmi kampeni ya Matembezi Jumuishi (DRMF Walkathon). Matembezi haya yatakayofanyika tarehe 29 Novemba katika viwanja vya Mnazi Mmoja yakiangazia dira Ulemavu wa Akili, Ulemavu wa Kisaikolojia pamoja na Usonji.

Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Kauli Mbiu ya Umoja wa Kimataifa unaosema “Sio Kila Ulemavu Unaonekana” (Not All Disabilities Are Visible). Tunawakaribisha wadau wote tujuike pamoja kulinda na kujenga afya ya akili. TB Shivyawata @tarc_tz tanzania tuspo @owm_tz @j_n_mengi @muhimbili_taifa World Health Organization (WHO) UNICEF

Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa DRMF Bi. Shimimana Ntuyabaliwe, Alipomtembelea Nyumbani Kwake, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Mheshimiwa Frédéric Clavier. Asante Sana Mheshimiwa Balozi Kwa Heshima Hii.France in Tanzania

Mkurugenzi wa DRMF Bi. Shimimana Ntuyabaliwe, Alipomtembelea Nyumbani Kwake, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Mheshimiwa Frédéric Clavier.
Asante Sana Mheshimiwa Balozi Kwa Heshima Hii.<a href="/FranceTanzania/">France in Tanzania</a>
Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

It’s two years since you left your mark on mother Earth. Your spirit lives on in many of us. May you continue to rest in eternal peace. #drreginaldmengi #ubuntu #foreverinourhearts

It’s  two years since you left your mark on mother Earth. Your spirit lives on in many of us.
May you continue to rest in eternal peace.
#drreginaldmengi #ubuntu #foreverinourhearts
Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Tumepokea taarifa hii kwa Masikitiko Makubwa. Tunakemea Vitendo hivi vya Kinyama kwa watu wenye UALBINO. Tunaviomba Vyombo vya Ulinzi kuchukua hatua kwa waliohusika. UNYAMA! MAUAJI YA ALBINO TABORA/ANG'OLEWA MACHO,MIKONO NA SEHEMU ZA SIRI youtu.be/3psUTtj6FCw via YouTube

Dr Reginald Mengi Foundation (@mengifoundation) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu tunatamani kumkumbuka Dr. Reginald Mengi kwa namna ya tofauti kidogo. Siku ya tarehe 29 May pale JK Park Grounds tutacheza michezo mbali mbali itakayojumuisha walemavu na wale wasio walemavu. Taarifa zaidi zinakuja. Mwaka huu #TanzaniaInakumbuka #UbuntuWaDrMengi

Mwaka huu tunatamani kumkumbuka Dr. Reginald Mengi kwa namna ya tofauti kidogo.
Siku ya tarehe 29 May pale JK Park Grounds tutacheza michezo mbali mbali itakayojumuisha walemavu na wale wasio walemavu. Taarifa zaidi zinakuja.
Mwaka huu
#TanzaniaInakumbuka
#UbuntuWaDrMengi