Boaz sniper tv (@mediaog) 's Twitter Profile
Boaz sniper tv

@mediaog

Buludani Kwa wote

ID: 1837116349400612866

linkhttps://www.youtube.com/@BSNIPERMEDIAOG calendar_today20-09-2024 13:08:15

13 Tweet

0 Followers

22 Following

mwijaku (@mwijakuburton) 's Twitter Profile Photo

Inshaala ,Leo baada ya swala Ijumaa . nitakwenda kumjulia hali kaka yangu Boniface , Na kumtia moyo hasa kipindi hiki kigumu ..! πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Inshaala ,Leo baada ya swala Ijumaa . nitakwenda kumjulia hali kaka yangu Boniface , Na kumtia moyo hasa kipindi hiki kigumu ..! πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi limezuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulikuwa unatarajiwa kuhudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, Tundu Lissu, tarehe 20 Septemba 2024 kama mgeni rasmi. Katika barua inayoonekana

Jeshi la Polisi limezuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulikuwa unatarajiwa kuhudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, Tundu Lissu, tarehe 20 Septemba 2024 kama mgeni rasmi.

Katika barua inayoonekana
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limewakamata Watu watano kwa tuhuma za kujichukulia sheria mkononi kwa kuwakamata na kuwaua Watu wawili kisha kuteketeza miili yao kwa moto. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith M. Swebe , leo September 20,2024 imesema

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limewakamata Watu watano kwa tuhuma za kujichukulia sheria mkononi kwa kuwakamata na kuwaua Watu wawili kisha kuteketeza miili yao kwa moto.

Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith M. Swebe ,  leo September 20,2024 imesema