Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile
Mbeya Buses

@mbeya_buses

Home of all Mbeya Buses and Upcountry Buses

ID: 1525460314833158144

calendar_today14-05-2022 12:58:27

5,5K Tweet

3,3K Takipçi

49 Takip Edilen

Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Mbeya Luxury Dar | Mbeya Saa kumi jioni Ubaoni 53000/= Free WiFi ✅️ Bites and Drinks ✅️ Full Ac ✅️ Safari zimeanza jana rasmi 🫡

Mbeya Luxury 

Dar | Mbeya

Saa kumi jioni 

Ubaoni 53000/= 

Free WiFi ✅️ 
Bites and Drinks ✅️
Full Ac ✅️ 
 
Safari zimeanza jana rasmi 🫡
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Juz kat nilitoa post Moja kuhusu Wakurugenz kuwekeza kweny routes za pemben ambazo hazihusish kwenda Dar hususan kutokea Mkoa wa Mbeya Nashukuru huyu Mkurugenz kaona fursa japo ataanzia Iringa ila sio mbaya naamin atafanya vizur Ijuka Luxury Coach Iringa |Bukoba | karagwe 🫡🫡

Juz kat nilitoa post Moja kuhusu Wakurugenz kuwekeza kweny routes za pemben ambazo hazihusish kwenda Dar hususan kutokea Mkoa wa Mbeya
Nashukuru huyu Mkurugenz kaona fursa japo ataanzia Iringa ila sio mbaya naamin atafanya vizur

Ijuka Luxury Coach
 
Iringa |Bukoba | karagwe
🫡🫡
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Greenline Express Dar | Mbeya VIP USB fast charging pots ✅️ Free WiFi ✅️ Full Ac ✅️ Bites and Drinks ✅️ Toilets 🚻 ✅️ Ubaoni 60000/=

Greenline Express 

Dar | Mbeya
 
VIP 

USB fast charging pots ✅️ 
Free WiFi ✅️ 
Full Ac ✅️ 
Bites and Drinks ✅️ 
Toilets 🚻 ✅️  
Ubaoni 60000/=
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi anaweza nunua units 20+ za bus mpya akazisambaza kwenye routes zake zote ila still Mbeya wakaendelea kupanda bus number "D" akijitahidi sana kaleta DXJ series Sijui Mbeya tulimkosea nini huyu Mkurugenzi 😃😃

Mkurugenzi anaweza nunua units 20+ za bus mpya akazisambaza kwenye routes zake zote ila still Mbeya wakaendelea kupanda bus number "D" akijitahidi sana kaleta DXJ series 
Sijui Mbeya tulimkosea nini huyu Mkurugenzi 😃😃
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Kwa Sasa hapa mjini Mbeya na viunga vyake hii ndo chuma inayoshikilia record ya kuwa na UBAO mkali sana 🫡 Kama huna 120k achana na mlango wa hii chuma ..fanya issue zingine tu 😀😀

Kwa Sasa hapa mjini Mbeya na viunga vyake hii ndo chuma inayoshikilia record ya kuwa na UBAO mkali sana 🫡

Kama huna 120k achana na mlango wa hii chuma ..fanya issue zingine tu 😀😀
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Ndala Express Mbeya | Mwakaleli via Katumba Siku hizi sio issue tena kuona vyuma vya maana vina piga trip za chaka ..soon tutaanza kuona D14 zinaingia chaka huko 😀

Ndala Express

Mbeya | Mwakaleli via Katumba 

Siku hizi sio issue tena kuona vyuma vya maana vina piga trip za chaka ..soon tutaanza kuona D14 zinaingia chaka huko 😀
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Achimwene Safaris Dar | Mbeya saa 05:00 Alfajiri Dar | Mbeya saa 18:00 Jioni Dar | Mbeya saa 20:00 usiku Dar | Mbeya | Makongolosi saa 13:30 Mchana Ko hiyo tumekubaliana huyu ndo GOAT 🐐 wa Route ya Mbeya Dar..au kuna mwingine.?😁😁

Achimwene Safaris
 
Dar | Mbeya saa 05:00 Alfajiri 
Dar | Mbeya saa 18:00 Jioni 
Dar | Mbeya saa 20:00 usiku 
Dar | Mbeya | Makongolosi saa 13:30 Mchana

Ko hiyo tumekubaliana huyu ndo GOAT 🐐 wa Route ya Mbeya Dar..au kuna mwingine.?😁😁
Mbeya Buses (@mbeya_buses) 's Twitter Profile Photo

Muda mlefu sana game ya Mbeya to Mwanza ilikosa vyuma vya uhakika .. tunashukuru saivi imepata wakurugenzi waliokuwa serious na game 🫡 Chakaby Luxury Mbeya | Mwanza Mkwaju piruuu kabisa 🫡🫡

Muda mlefu sana game ya Mbeya to Mwanza ilikosa vyuma vya uhakika ..
tunashukuru saivi imepata wakurugenzi waliokuwa serious na game 🫡

Chakaby Luxury 
Mbeya | Mwanza 
Mkwaju piruuu kabisa 🫡🫡