Prof Makame Mbarawa (@mbarawam) 's Twitter Profile
Prof Makame Mbarawa

@mbarawam

Member of Parliament | Minister for Works & Transport(Sept 2021-August 2023)|Minister for Transport (Aug 2023)

ID: 715567334686113792

calendar_today31-03-2016 15:52:02

6,6K Tweet

26,26K Followers

2,2K Following

Prof Makame Mbarawa (@mbarawam) 's Twitter Profile Photo

Jijini Dodoma leo nimetembelea ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato mkoani Dodoma na kuwahimiza kuongezeka kwa Kasi ya ujenzi ili kuepuka changamoto, zinazosababishwa na mvua.

Nimekutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam na kuwaeleza tukio kubwa litakalofanyika 1 Agosti 2024 litakalofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1 Agosti 2024 amezindua rasmi Safari za treni ya Kisasa za SGR Sehemu ya Dar es Salaam hadi Dodoma

Jijini Dar es Salam leo nimefungua rasmi Mkutano wa Kimataifa wa Uchukuzi na Logistiki (Federation of East African Freight Forwarders Association 2024 Global Logistics Convention). Mkutano huu unafanyika 14-16 agosti ambapo masuala ya uchukuzi na lojistiki yatajadiliwa.

Jijini Dar es Salam leo nimefungua rasmi  Mkutano wa Kimataifa wa Uchukuzi na
Logistiki (Federation of East African Freight Forwarders Association 2024 Global Logistics Convention).

Mkutano huu unafanyika 14-16 agosti ambapo masuala ya uchukuzi na lojistiki yatajadiliwa.
Prof Makame Mbarawa (@mbarawam) 's Twitter Profile Photo

Katika Mkutano wa 16, Kikao cha 2, 28 agosti 2024, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania.