Duh . Huu mwaka sasa ni toke nyumbani, niwaache baba na mama na madogo ata kama nikifia uko ndiowataona thamani yangu. haiwezekani siku nzuri kama hii wameenda kununua michicha .
Wachezqji wanamuhujumu sana tajiri. Wachezaji hawaoni umuhimu wa uwekezaji anaoufanya tajiri yao . No efforts wanacheza kama wanacheza rede takataka kabisa๐ฎ
KAFA KIFO CHA MATESO NA HANA HATIA
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa Mtendaji wa kijiji cha Uyovu anaitwa Budimu na
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa Mtendaji wa kijiji cha Uyovu anaitwa Budimu na Afisa Mtendaji wa kijiji cha