Master_plan🇹🇿(@Master_plan88) 's Twitter Profileg
Master_plan🇹🇿

@Master_plan88

|@YoungAfricansSC|@manutd|

ID:1545772600101683201

calendar_today09-07-2022 14:11:40

15,9K Tweets

3,7K Followers

1,2K Following

Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Kiwango chako cha UPWIRU ulichonacho ndicho kitaamua, ulipie Lodge kabla Manzi hajaja ama ukaze mpaka afike....

Kilichonikuta jana 😥😅🙌🏽

account_circle
Ms. Lily. HJ 🥀✨🖤(@Captivate73) 's Twitter Profile Photo

Niwaulize.

Mada ya single mothers mbona kama inakua kwa kasi? Au kwa 7bu mm anapata mahitaji accordingly nikae kiae kimya?😂😂Shida ni nini ety?😳

account_circle
goligani(@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA tunapitia CHANGAMOTO nyingi kweny kazi zetu lakini KAMWE hatujawahi KUKATA TAMAA.
BM ujanja wake wote lakini TOPE ndo kiboko yake 💔💔

BACK BENCHA tunapitia CHANGAMOTO nyingi kweny kazi zetu lakini KAMWE hatujawahi KUKATA TAMAA. BM ujanja wake wote lakini TOPE ndo kiboko yake 💔💔
account_circle
White Dove 🕊️(@Cyborg______) 's Twitter Profile Photo

Hey babe's pikipiki yetu pendwa ya TVS HLX plus cc 100 imerudi tena. Ikiwa imeboreshwa zaidi na kwa Lita moja tu unatembea kilometer 75☺️ unaipata kwa mkopo kupitia Kampuni ya Watu kwa rejesho la elf 55 tu kwa wiki vigezo ni nafuu sana, ukitaka kununua ni 2M laki na elf 50......

Hey babe's pikipiki yetu pendwa ya TVS HLX plus cc 100 imerudi tena. Ikiwa imeboreshwa zaidi na kwa Lita moja tu unatembea kilometer 75☺️ unaipata kwa mkopo kupitia Kampuni ya Watu kwa rejesho la elf 55 tu kwa wiki vigezo ni nafuu sana, ukitaka kununua ni 2M laki na elf 50......
account_circle
MZUNGU PORI💪(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Dar es salaam ni nzuri kwa jina labda na Biashara zinazoendelea hapo ila miundombinu maeneo mingi ni mibaya sana ni kama vile jiji halizalishi mapato🤔🤔

account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

“Wizara itaendelea na juhudi za kuwaendeleza wachimbaji wadogo kwa kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu masuala muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za madini
•Kuwaunganisha wachimbaji wadogo na taasisi za fedha ili wapate mikopo kwa ajili ya undeshaji wa shughuli…

“Wizara itaendelea na juhudi za kuwaendeleza wachimbaji wadogo kwa kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu masuala muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za madini •Kuwaunganisha wachimbaji wadogo na taasisi za fedha ili wapate mikopo kwa ajili ya undeshaji wa shughuli…
account_circle
Mudryk Jr🚫(@mudryk_jr) 's Twitter Profile Photo

✂Kama Kupenda Ni Pale Unapo Mjali Mwenza Wako Kuliko Nafsi Yako Ambayo Ndio Hubeba Thamani Ya Utu Wako. Thamani Ambayo Hujengwa Kwa Ufahamu Na Kujitambua'

Na Kama Mapenzi Ya Kweli Ni Pale Wa Wili\Mwenza Wanapojali Muungano Wao Kuliko Nafsi Zao,

Kwa Namna Hiyo Basi Yafaa Kusema…

✂Kama Kupenda Ni Pale Unapo Mjali Mwenza Wako Kuliko Nafsi Yako Ambayo Ndio Hubeba Thamani Ya Utu Wako. Thamani Ambayo Hujengwa Kwa Ufahamu Na Kujitambua' Na Kama Mapenzi Ya Kweli Ni Pale Wa Wili\Mwenza Wanapojali Muungano Wao Kuliko Nafsi Zao, Kwa Namna Hiyo Basi Yafaa Kusema…
account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Miliki mwanamke ambae ukimwambia shida yako ya pesa anakupa 500,000 kama kianzio utatue matatizo yako🤭🤭

account_circle
BiDi🤝(@Raphaeligp) 's Twitter Profile Photo

Ukihitaji kufanya tiba ya moyo wako juu ya changamoto zinazo kupa madhaifu ya moyo na akili rudia hatua mbili za utotoni.

1. Mpende mama yako / mlezi wako kuliko kitu chochote.
2. Thamini sana vitu vyako vitunze na tengeneza furaha na mazingira.

account_circle
Mbaade Tz 🇹🇿(@Hamisi_Mbaade) 's Twitter Profile Photo

Merinna wangu leo mwezi sasa hanitafuti toka alivoniaga anaenda kufanya show Kenya .. wachawi mmeshamroga Mai wangu 😒😪

Merinna wangu leo mwezi sasa hanitafuti toka alivoniaga anaenda kufanya show Kenya .. wachawi mmeshamroga Mai wangu 😒😪
account_circle