PENDEZA (@mariopendeza) 's Twitter Profile
PENDEZA

@mariopendeza

ONE GOD BELIEVER
TIME OF NOAH
CHRISTIAN & ISLAMIC CONTROVERSAL

ID: 1419361573991235585

calendar_today25-07-2021 18:19:34

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Mr_nobody_outfits (@mrnobody_outfit) 's Twitter Profile Photo

Bwana MUNGU nakuja mbele zako Mimi Ni mkosaji🙏 .Mimi ndio nilikunywa PEPSI ya mgeni nikaweka chai ya rangi 🙇😂😂😂🏃🏃

PENDEZA (@mariopendeza) 's Twitter Profile Photo

Watu wa mbezi beach wa chimbo lao jipya linaitwa CHUVINI🙌🙌🙌 no locals😹😹😹😹 huna hela ya wiski usiende maana hakuna bia huko

PENDEZA (@mariopendeza) 's Twitter Profile Photo

Ukweli mtupu. Nakumbuka nililima giligilani Chunya mbeya, mwaka wa kwanza mambo yakua fresh lkn mwaka uliofuata, ndo hayo mambo ambayo motivation speakers hawawezi kukuambia.

PENDEZA (@mariopendeza) 's Twitter Profile Photo

Kinachoendelea TTCL CORPORATION ni kututesa watumiaji wenu tena bila taaria imagine tangu jana saa 5 usiku sipati access ya Internet wala sipigi 🚮

PENDEZA (@mariopendeza) 's Twitter Profile Photo

Hata kama kuna ugomvi kiasi gani but this is shame, hili bango lilipaswa kuwa karibu serengeti, au karibu ngorongoro, au whatever likimaanisha utalii, sio bango la violence kwanza hapo wanawajengea image mbaya wenzao kwa wageni waonekane sio waaminifu