March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

Hiviii hii ngoma uliipa rate ya ngapi πŸ€”
Hiki kiumbe ni cha ajabu sana kuwahi kutokea katika industry ya music 🎢 duniani πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸΏ

Hiviii hii ngoma uliipa rate ya ngapi πŸ€”
Hiki kiumbe ni cha ajabu sana kuwahi kutokea katika industry ya music 🎢 duniani πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸΏ
account_circle
March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

🎢'Umenikamata me umenikamata , umenikamata we umenikamata X2,hakiya mungu we ni mzuri,ur so beautiful na mungu kakujalia,hauna chembe ya kiburi we ni msafi wa roho I don't wanna let you go'🎢,juma jux ✌🏿🌹

account_circle
March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

Kaka una PhD ya mapenzi ama kwa hakika,
Nipo hapa naikalili kama script ya movie πŸŽ₯
πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ”₯πŸ”₯

account_circle
March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndizo sifa zangu mimi πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
1: Mweusi
2: Mrefu
3: Nywele nzuri
4:Ndevu
5: Romantic boy

Lakin cha ajabu hawanielewi, halafu ukikaa nao utaskia wanataja sifa zote ambazo mimi ninazo,ntakuja niwatukane.😏
Dullah_theKingπŸ‡ΉπŸ‡Ώ acha kukoroma kwani we ni tajiri πŸ˜‚

account_circle
March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

Warumi 14:1
Yeye aliye dhaifu wa imani, mkaribisheni, walakini msimhukumu mawazo yake.
NB:kama kuna neno lolote ndani bible ambalo uliliona haliko sawa,nakukaribisha home,tuwekane sawa.Usi type kwa mihemko.Your welcome πŸ™

account_circle
March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

Can you help me to get a blue tick πŸ™πŸΏ!!,on this special day for our mothers,I wish to get a blue tick,but I don't have money to buy a blue tick.help please πŸ™πŸΏ Mr Elon

account_circle
March Bizness(@MarchBizness) 's Twitter Profile Photo

Mr HealthπŸ’ŠπŸ’‰ Kaka mwambie aje kwangu, ntakua Nampa bamia changa kwa mwezi mzima, halafu nta mfanyia practical kuona kama imefanya kazi, please let her feel better with me!!,NB: najua ku care so asiwaze, half usisahau kumpa sifa zangu,mimi ni kijana mpole na mstaharabu

account_circle