@mapengo254
ID: 1892891173225975810
calendar_today21-02-2025 10:56:58
113 Tweet
626 Takipçi
1,1K Takip Edilen
7 months ago
Masaa ni ya ku sample nguo za ku recycle na za kufua😂
Nimeipiga koroga hapa site mapema sana,,, alafu saa hii najaribu kuiskuma wheelbarrow inaharibika😭 foreman amesema salo ya leo na kesho anaitengeneza nayo😭😂 ,,, itafika Furaiday kweli😂😭
Leo tao kunanuka tu kiwi na uji😂
Kijanaa akona maideas lakini hana kasomething, economy ni dedly
6 months ago
Wacha niingie dm ya huyu Kuna Mvua😂😅
5 months ago
Up and greatful 🙏 ,Good morning champs 🌄
I'm explaining in an exam,,,,, and I'm tempted to write ''hope you Understand me '' instead of going ahead explaining explanation 😁😁
Hii baridi na mvua nafikiria vile nafika locals
Man u na nduthi boys mfike team kubwa inataka kucheza 😂
Arsenal fans wameamka kuangalia highlights za jana juu hawaamini walishida.
Shout subahallah
4 months ago
What's on your shoes
Niko mawinguni kunipata uliza Akina cumulus na Nimbus😄😂
Cool kid anaeza dani huyu anaenda job ya ofisini😂😄
Siku njema huonekana asubuhi aje na mpesa app haiko kwa recommended apps😄😂
Mama uji haonekani Leo wakuu
Highschool heri ungekosana na kila mtu lakini sio cook 😂💔
Ati "hizi ni vitu za dunia" uko nazo kwanza‽‽! Uko nazo‽‽
Nilikuwa nimeenda kubuy supper nikajipata base ya jaba 🤣
Yaani simu iko 94% tangu asubuhi enyewe hii ni kunitumia walahi