Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profileg
Maisha Magic Bongo

@MaishaMagicTZ

Maisha Magic Bongo ni chaneli ambayo inakuburudisha kwa lugha ya Kiswahili na inapatikana kwa Watanzania wote kupitia DStv chaneli 160!

ID:2644298832

linkhttp://maishamagicbongo.tv calendar_today14-07-2014 07:57:12

5,9K Tweets

6,9K Followers

395 Following

Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Queen ajaribu kumwambia mama yake abadirishe biashara yake, bonyeza hapo chini kuangalia matukio ya wiki hii kwa ufupi? πŸ‘‡πŸ‘‡

Usikose vipindi vipya vya kila Jumamosi na Jumapili saa 3 usiku ndani ya

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Je Eva ana haki ya kumficha Bill majibu ya vipimo vyake au ni lazima amwambie Bill kama ana ugonjwa huu? Tuambie hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡

Pia usikose vipindi vipya vya kila Jumatano hadi Jumapili saa 3 usiku ndani ya

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Kama bado haujakutana na Queen, lipia kifurushi chako cha DStv sasa hivi πŸ‘‡πŸ‘‡ kufuatilia kipindi kipya cha kila Jumamosi na Jumapili saa 3 usiku ndani ya 🀩

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Nani atamuokoa Tima kwenye tabu hizi? Bonyeza hapo chini kuangalia matukio yote ndani ya wiki hii ya πŸ‘‡πŸ‘‡

Usikose marudio ya wiki nzima kila Jumamosi saa 10:30 mchana ndani ya 🀩

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Bado siku mbili mpaka mwisho wa kupiga kura πŸ˜… Bonyeza hapo chini kwenye tovuti kupigia kura wateliwa unaowapenda πŸ‘‡

account_circle
Lamata Leah(@lamataleah1) 's Twitter Profile Photo

Leo kwenye Jua Kali Semeni na Peter wajikuta kwenye ugomvi mzito,hali ya Femi yazidi kuwa mbaya huku Fumanizi zito likitokea kwa Peter Je nini kitatokea? Ni ndani ya Maisha Magic Bongo DStv (TZ) Saa 3:30 Usiku

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Umeshaangalia mwanzo wa ? Kama bado bonyeza hapo chini kwa ufupi wa matokeo yaliyopita wiki iliyopita 🀩🀩 Kumbuka kuangalia vipindi vipya kila Jumamosi na Jumapili saa 3 usiku ndani ya pekee!!

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Tesa kuachwa na Roy na kujaribu kujiua, Chidi aliamua kumsaidia na kumleta nyumbani kwake na Kibibi. Je Kibibi amruhusu Tesa akae nyumbani kwake? Toa maoni yako hapo chini na soma historia yao yote hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Haya matibabu ya Femi yatamponya kweli? Toa maoni yako hapo chini na pia bonyeza hapo chini πŸ‘‡ kuangalia matukio ya wiki iliyopita ndani ya πŸ”₯πŸ”₯

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Maskini G jamani, bonyeza hapo chini kuona ugomvi wa Don G baada ya kulewa πŸ‘‡πŸ‘‡ Usikose marudio ya wiki nzima ya leo saa 10 mchana ndani ya πŸ”₯πŸ”₯

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Kama ulikosa vipindi vya wiki hii vya bonyeza hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡ kuangalia kwa ufupi kabla ya marudio ya wiki nzima leo saa 10:30 mchana ndani ya πŸ“Ί

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Jiya avunja mahusiano na Don G na pia akataa kuolewa na Sanjeet ndani ya siku moja. Je kati ya hawa wawili wewe nini nani ukiachika? Bonyeza hapo chini kuona hatua zakufua baada ya kuachwa. Pia toa kwa Don G, Jiya na Sanjeet πŸ‘‡πŸ‘‡

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Jiya kuachana na Don G na pia Sanjeet kwenye siku ya harusi, na Senteu kuachana na Neema na kutoroka kijijini. Je muda wakutane na waanze mapenzi? Unaona kama wanafanana au? Tuambie hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡ Pia soma kuhusu matukio makubwa yaliyotokea mpaka sasa ndani ya

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Kama ulikosa matukio ya wiki iliyopita ndani ya bonyeza hapo chini kuangalia kwa zaidi πŸ‘‡πŸ‘‡ Pia usikose vipindi vipya kila Jumatano hadi Jumapili saa 4 usiku ndani ya 🀩

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Kama ulikosa matukio ya wiki ndani ya bonyeza hapo chini kuona jinsi Bi Sikitu alivyompa laana Doris πŸ‘‡πŸ‘‡ Pia usikose marudio ya wiki hii ndani ya saa 3 usiku ndani ya πŸ”₯πŸ”₯

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

Kama ulikosa kuangalia finale ya msimu wa kwanza wa bonyeza hapo chini kuangalia sasa hiviπŸ‘‡πŸ‘‡

Kumbuka kuendelea kufuatilia kwa zaidi kuhusu msimu wa pili!!

account_circle
Maisha Magic Bongo(@MaishaMagicTZ) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨Tunapenda kuwa taarifu wapenzi wote wa tamthilia ya kuwa leo saa 4 usiku ndiyo finale ya msimu wa kwanza wa kipindi hiki, usipitwe na hii finale πŸ”₯πŸ”₯

Pia usiwe na hofu msimu wa pili utatangazwa hivi karibuni ⏲️

account_circle