Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile
Wizara ya Madini

@madinitanzania

HUU NI UKURASA RASMI WA WIZARA YA MADINI ILIYOUNDWA TAREHE 7/10/2017 BAADA YA KUGAWANYWA KWA ILIYOKUWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.

ID: 922797686134333441

linkhttps://www.madini.go.tz calendar_today24-10-2017 12:11:27

5,5K Tweet

70,70K Takipçi

392 Takip Edilen

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Bungeni,Dodoma VIDEO: “Mheshimiwa Naibu Spika, deni la Wafanyakazi wa Kiwira lilitokana na malalamiko ya mapunjo ya mafao kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi wa mgodi huo kabla ya ubinafsishaji. Baada ya Chama cha Wafanyakazi Mgodini (TAMICO) kuwasilisha malalamiko ya mapunjo

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Indonesia 🇹🇿🇮🇩 ▪️TANZANIA IPO TAYARI KWA UWEKEZAJI UTAKAOONGEZA THAMANI YA MADINI NDANI YA NCHI Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima

📍Indonesia

🇹🇿🇮🇩

▪️TANZANIA IPO TAYARI KWA UWEKEZAJI UTAKAOONGEZA THAMANI YA MADINI NDANI YA NCHI

Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam 🇹🇿🇮🇳 ▪️WATAALAM MADINI KUJENGEWA UWEZO UTAFITI WA MADINI NCHINI INDIA ▪️Ni matokeo ya ziara ya Rais Samia nchini humo Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Madini, Taasisi zake pamoja na Wataalam kutoka Vyuo Vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma wanaotarajia

📍Dar es Salaam

🇹🇿🇮🇳

▪️WATAALAM MADINI KUJENGEWA UWEZO UTAFITI WA MADINI NCHINI  INDIA

▪️Ni matokeo ya ziara ya Rais Samia nchini humo

Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Madini, Taasisi zake pamoja na Wataalam kutoka Vyuo Vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma wanaotarajia
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: “I am pleased to announce the launch of the Tanzania Mining and Investment Conference, a significant milestone in driving the growth and development of the mining sector in Tanzania. The conference will take place from November 19th to 21st in Dar es Salaam, Tanzania. The

Australian High Commission, Kenya (@aushckenya) 's Twitter Profile Photo

🇦🇺 mining companies invest an estimated $60 billion in 🌍. Our High Commissioner joined 🇦🇺 Assistant Minister for Foreign Affairs Tim Watts MP during #ADU2024 to discuss these opportunities with 🇹🇿 & 🇰🇪's minerals & mining ministers - the Hon Anthony Mavunde & H.E. Hassan Ali Joho, EGH..

🇦🇺 mining companies invest an estimated $60 billion in 🌍. Our High Commissioner joined 🇦🇺 Assistant Minister for Foreign Affairs <a href="/TimWattsMP/">Tim Watts MP</a> during #ADU2024 to discuss these opportunities with 🇹🇿 &amp; 🇰🇪's minerals &amp; mining ministers - the Hon Anthony Mavunde &amp; H.E. <a href="/HassanAliJoho/">Hassan Ali Joho, EGH.</a>.
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

📍PERTH, AUSTRALIA 🇹🇿🇦🇺 Tarehe 04 Septemba 2024, Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini ametembelea mabanda mbalimbali ya Makampuni ya Madini yaliyowekeza Tanzania pamoja na Taasisi binafsi zikiwemo benki kutoka Tanzania na kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli

📍PERTH, AUSTRALIA 
🇹🇿🇦🇺

Tarehe 04 Septemba 2024, Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini ametembelea mabanda mbalimbali ya  Makampuni ya Madini yaliyowekeza Tanzania pamoja na Taasisi binafsi zikiwemo benki kutoka Tanzania na kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli
Australian High Commission, Kenya (@aushckenya) 's Twitter Profile Photo

🇦🇺🌍partnerships in mining are contributing to a cleaner energy future. Our High Commissioner Jenny Da Rin & 🇦🇺 High Commissioners & Ambassadors in Africa joined 🇦🇺Assistant Minister for Foreign Affairs Tim Watts MP & African ministers at #AfricaDownUnder in Perth 🇦🇺. #ADU2024

🇦🇺🌍partnerships in mining are contributing to a cleaner energy future.

Our High Commissioner Jenny Da Rin &amp; 🇦🇺 High Commissioners &amp; Ambassadors in Africa joined 🇦🇺Assistant Minister for Foreign Affairs <a href="/TimWattsMP/">Tim Watts MP</a> &amp; African ministers at #AfricaDownUnder in Perth 🇦🇺.

#ADU2024
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

📍PERTH, AUSTRALIA 🇹🇿🇦🇺 Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini amefanya mazungumzo na viongozi wa Kampuni ya madini ya BHP iliyoingia ubia na Kampuni ya Lifezone kwa ajili ya kuwekeza nchini Tanzania katika ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua madini yaani, Multi metal Refinery

📍PERTH, AUSTRALIA
🇹🇿🇦🇺

Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini amefanya mazungumzo na viongozi wa Kampuni ya madini ya BHP iliyoingia ubia na Kampuni ya Lifezone kwa ajili ya kuwekeza nchini Tanzania katika ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua madini yaani, Multi metal Refinery
Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

📍PERTH, AUSTRALIA 🇹🇿🇦🇺 Leo, tarehe 05 Septemba 2024, Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini ametembelea Chuo cha Mafunzo cha “FutureFit Academy”kinachomilikiwa na Kampuni ya madini ya BHP kilichopo Perth, Australia. Akiwa chuoni hapo alipata fursa ya kupata maelezo ya kina

📍PERTH, AUSTRALIA
🇹🇿🇦🇺

Leo, tarehe 05 Septemba 2024, Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini ametembelea Chuo cha Mafunzo cha “FutureFit Academy”kinachomilikiwa na Kampuni ya madini ya BHP kilichopo Perth, Australia. Akiwa chuoni hapo alipata fursa ya kupata maelezo ya kina
Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

"Niko hapa Australia Katika kiwanda ambacho pia kitawekwa Kahama Shinyanga Tanzania, Kwa ajili ya Kusafisha makinikia yaliyochenjuliwa kutoka Katika Mgodi wetu mkubwa wa Kabanga. Hii niliyoshika ni nikeli iliyozalishwa Ngara mkoani Kagera, imechenjuliwa &imekuja kusafishwa hapa

Tanzania Embassy I Japan 在日タンザニア大使館 (@ubalozijapan) 's Twitter Profile Photo

📍PERTH, AUSTRALIA 🇹🇿🇦🇺 Leo, tarehe 06 Septemba 2024, Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Salim Elbusady ,Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SAS Logistics Ltd ya Tanzania inayojishughulisha na usafirishaji wa madini. Kampuni ya SAS

📍PERTH, AUSTRALIA
🇹🇿🇦🇺

Leo, tarehe 06 Septemba 2024, Mhe. Anthony Mavunde (Mb), Waziri wa Madini amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Salim Elbusady ,Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya SAS Logistics Ltd ya Tanzania inayojishughulisha na usafirishaji wa madini. Kampuni ya SAS