M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profileg
M4C

@Mabadiliko2020

Mabadiliko ya kweli Tanzania yatatoka chini ya uongozi wa CHADEMA. Tupo tayari kushika dola Tanzania 2020 ili kuonesha tofauti baada ya miaka yote ya umaskini!

ID:708753934383456256

calendar_today12-03-2016 20:38:00

61 Tweets

866 Followers

80 Following

M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Jana jioni mtu wa sosho midia wa Azam TV Azam TV aliandika hivi ktk ukurasa wa kampuni hapa Twita. Uwajibikaji unaanza na makapuni binafsi

Jana jioni mtu wa sosho midia wa Azam TV @azamtvtz aliandika hivi ktk ukurasa wa kampuni hapa Twita. Uwajibikaji unaanza na makapuni binafsi
account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Mauzo ya hisa kushuka DES kwa 81% ni dalili nzuri kwa uchumi. Walalwa hoi msiwe na hofu. Wacha waisome namba bwana wee

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Kifo ni siri ya manani, ole wao wauaji au watabiri wa kifo maana mwisho mbaya. Daima tutakukumbuka Mtoi. RIP Mtoi

Kifo ni siri ya manani, ole wao wauaji au watabiri wa kifo maana mwisho mbaya. Daima tutakukumbuka Mtoi. RIP Mtoi
account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kupelekeshwa mchakamchaka mwezi mzima sijui polisi wanajisikiaje leo. Mazoezi yote yale, leo hakuna kazi. Loool

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Watake wasitake UKUTA watakutana nao njiani. Wafanye usafi au wapige mabomu, watakutana na makabwela mitaani tunaopinga mambo ya mwendo kasi

account_circle
Tanzania na Vijana(@TZnaVijana) 's Twitter Profile Photo

Ni Mara Mia ukutwe unauza dawa za kulevya unaweza ukasamehewa kuliko ukutwe unauza T-shirt za UKUTA mbona utataja jina la rais la ubatizo

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Wameamua kuweka DC mpya wa Arusha ambaye ni usalama ili iweje? upo pale pale 1 September. Twasubiri tuone nguvu ya dola dhidi ya umma

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Watu haijulikani wana biashara gani, na wanatabiria watu vifo Twita. Vifo vya wakati wa uchaguzi mkuu vichunguzwege.

Watu haijulikani wana biashara gani, na wanatabiria watu vifo Twita. Vifo vya wakati wa uchaguzi mkuu vichunguzwege.
account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Zimebaki siku kumi kabla ya kusimama. Marehemu Mtoi (RIP) alishatabiri mambo ya ukuta. Tutakutana tar. 1 Sept

Zimebaki siku kumi kabla ya #UKUTA kusimama. Marehemu Mtoi (RIP) alishatabiri mambo ya ukuta. Tutakutana tar. 1 Sept
account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Hakuna haja ya wakati wakulima wanateseka. Imefikia debe la nyanya buku?wauza mahindi wanazuiwa kuuza nje?Sirikali ya mwendo kasi.

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Naibu waziri wa afya anafanyia kazi mambo ya social media tu? Kwani hawana mikakati ya wizara, vifaa tiba hospitalini adimu hilo hawalioni?

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Nukuu 'Magu ni bomu, siku litalipuka na kulipua nchi..'' Mwisho wa nukuu.
Mmekubali kuongozwa na mgonjwa, basi mkubaliane na matokeo yake.

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Nukuu 'Inasemekana Magu ana magonjwa matatu ya akili ana dalili za Schizophrenia, Manic depression, na multi-personality disorder'-M.Fumbuka

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Mtu huyu hafananii udikteta. Tusimpe nafasi. Haturudi nyuma, ukoloni ulipita zamani. Tukutane katika maandamano ya 1st Sept.

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Wasanii walikuwa na haki ya kumlilia mwenyekiti wao wa usanii. Hawajui mwenyekiti mpya atawapokeaje? Maana zilongwa mbali, zitendwa mbali.

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Kagame dikteta mzuri walau amefukuza waziri wake bila kumpaka matope hazarani. Dikteta uchwara jifunze baadhi ya mambo kwa jirani yako basi.

account_circle
M4C(@Mabadiliko2020) 's Twitter Profile Photo

Dikteta uchwara wa mipasho. Mtu asiye na visheni hawezi kuongoza kitu chochote. Makosa makubwa yamefanyika, hapa kazi ipo.

account_circle