Mvulana Initiative (@mvinitiative) 's Twitter Profile
Mvulana Initiative

@mvinitiative

Mvulana Initiative (MI) is a Non-Governmental Organization that advocates for the rights and well-being of boys against all forms of abuse.

ID: 2030417418489884672

linkhttp://www.mvulanainitiative.org calendar_today07-03-2026 22:57:38

9 Tweet

0 Takipçi

5 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Karibuni Tanzania. Karibuni Nyumbani. Leo nimejumuika na Marais wa nchi na Wawakilishi wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, jijini Arusha. Miaka 26 tangu kurejeshwa kwa umoja

Karibuni Tanzania.
Karibuni Nyumbani.

Leo nimejumuika na Marais wa nchi na Wawakilishi wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, jijini Arusha.

Miaka 26 tangu kurejeshwa kwa umoja
Mvulana Initiative (@mvinitiative) 's Twitter Profile Photo

Unamfundisha nini mtoto wako? Sote tunafahamu kuwa mtoto ndio taifa la kesho! Lakini je, unampatia mafunzo gani ili kumuandaa na changamoto zinazoweza kukwamisha ndoto zake? #fyp #viralvideo #Tanzania #abuse #childabuse #IranWar #SEVENTEEN #MvulanaInitiative #DarEsSalaam #boy

Unamfundisha nini mtoto wako? 

Sote tunafahamu kuwa mtoto ndio taifa la kesho! Lakini je, unampatia mafunzo gani ili kumuandaa na changamoto zinazoweza kukwamisha ndoto zake?
#fyp #viralvideo #Tanzania #abuse #childabuse #IranWar #SEVENTEEN #MvulanaInitiative #DarEsSalaam #boy
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawapongeza na kuwatakia kheri wanawake wote katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake. Siku hii inatupa fursa ya kipekee ya kutambua, kujivunia na kusherehekea mafanikio tuliyopata, hasa katika elimu, afya, uchumi na uongozi. Siku hii inatukumbusha pia wajibu wetu wa

Ninawapongeza na kuwatakia kheri wanawake wote katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake. Siku hii inatupa fursa ya kipekee ya kutambua, kujivunia na kusherehekea mafanikio tuliyopata, hasa katika elimu, afya, uchumi na uongozi. 

Siku hii inatukumbusha pia wajibu wetu wa
Mvulana Initiative (@mvinitiative) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi hufikiri kuwa mwanaume ni nguvu au umri. Lakini ukweli ni huu: Mwanaume halisi ni yule anayewajibika. Anayeheshimu wengine. Anayelinda na kujali familia yake. Na anayesimama kwenye maamuzi yake hata wakati mambo ni magumu. Uanaume sio kelele, ni tabia. .... #fyp #mi