Fey Lastborn🌹 (@lastbornfey22) 's Twitter Profile
Fey Lastborn🌹

@lastbornfey22

jukumu la kunijua sanaa mwachie alienizaa we jipunguzie majukumu 😎!! Simba sporty club !! M4C ✌!! sijawai kuwa seriously 🌹 I am proud Romani Catholic πŸ™

ID: 1848672655999700992

calendar_today22-10-2024 10:28:30

20,20K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

STUNNA (@cavitydamas23) 's Twitter Profile Photo

Michael Kuka Mboladinga ameonyesha aina fulani ya nembo na ishara ya kiongozi wa enzi izo wa Congo DRC Patrick Lumumba kwa kusimama kila mchezo wa Congo kwa dakika zote 90 bila kupepesuka kwa kunyanyua mkono mmoja juu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Huu ndo uzalendo sasa

Michael Kuka Mboladinga ameonyesha aina fulani ya nembo na ishara ya kiongozi wa enzi izo wa Congo DRC Patrick Lumumba kwa kusimama kila mchezo wa Congo kwa dakika zote 90 bila kupepesuka kwa kunyanyua mkono mmoja juu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Huu ndo uzalendo sasa
The champπŸ‘‘ (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Mwaka mwingine tena labda wanangu wa " pita pinned post" labda watakuwa wameshafanikiwa waache kutupelekeshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”.

Mwaka mwingine tena labda wanangu wa " pita pinned post" labda watakuwa wameshafanikiwa waache kutupelekeshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Happy new year Mr Chairman.. tunakupenda. Umelipa na unaendelea kulipa gharama kubwa, lakini maumivu yako yataleta, Uhuru, haki na maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.. 2026, utakua mwaka wa ushindi mkubwa kwa Watanzania.

Happy new year Mr Chairman.. tunakupenda.

Umelipa na unaendelea kulipa gharama kubwa, lakini maumivu yako yataleta, Uhuru, haki na maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote..

2026, utakua mwaka wa ushindi mkubwa kwa Watanzania.
STUNNA (@cavitydamas23) 's Twitter Profile Photo

Hamna kisichouzwa mjini ni vile tu haujafika bei Mimi sijakwambia unajiuza nimekwambia nimezidiwa na upwiru nna 100k ni swala la kuniambia ongeza au vp sio anaanza kusema unanichukiaje , unanionaje ndo vitu gani πŸ˜‚

Hamna kisichouzwa mjini ni vile tu haujafika bei 

Mimi sijakwambia unajiuza nimekwambia nimezidiwa na upwiru nna 100k ni swala la kuniambia ongeza au vp sio anaanza kusema unanichukiaje  , unanionaje ndo vitu gani πŸ˜‚
β—‹π—™π—™π—œπ—–π—œπ—”π—Ÿπ—§β—‹π— π— π—£π—”π—‘π—§π—›π—˜π—₯ β˜ͺ (@1tommpanther) 's Twitter Profile Photo

π—Ÿπ—’π—–π—ž | π—›π—’π— π—˜ 𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ π—ͺπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—£π—”π—£π—˜π—₯ π—ͺπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—£π—”π—£π—˜π—₯ 𝗧𝗛π—₯π—˜π—”π—— π—Ÿπ—˜π—§'𝗦 π—šπ—’

π—Ÿπ—’π—–π—ž | π—›π—’π— π—˜ 𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ π—ͺπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—£π—”π—£π—˜π—₯ π—ͺπ—”π—Ÿπ—Ÿπ—£π—”π—£π—˜π—₯

𝗧𝗛π—₯π—˜π—”π——

π—Ÿπ—˜π—§'𝗦 π—šπ—’
Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

Good morning Waterproof bedcover hazipitishi maji/mkojoπŸ“Œ Futi 6x6 Tsh 43,000 0755693113 πŸ“Mabibo Hostel, mikoa yote tunatuma

Good morning

Waterproof bedcover hazipitishi maji/mkojoπŸ“Œ

Futi 6x6
Tsh 43,000

0755693113

πŸ“Mabibo Hostel, mikoa yote tunatuma
AMπŸ’‘ (@tonnyunfiltered) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ni kama treni. Ina mabehewa mengi kama kazi kwa bidii, umakini, bahati, na mengineyo. Lakini kinachoongoza yote ni injini ya kujiamini.πŸ“Œ

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

ukiona post hi Repost, ✌ Kila Mwananchi MTanzania mzalendo unakila sababu yaku Reposti 1000 ifike duniani hi post mwisho wa mateso sasa basi 🀲😭 DPP mfutie Tundulisu kesi ni uwonevu Reposti 1000? #MsiogopeTumeshinda

ukiona post hi Repost, ✌

Kila Mwananchi MTanzania  mzalendo unakila sababu yaku Reposti 1000 ifike duniani hi post  mwisho wa mateso sasa basi 🀲😭 

DPP mfutie Tundulisu  kesi ni uwonevu 

Reposti 1000? 

#MsiogopeTumeshinda
Mthesalonike wa KIANDAπŸ“Œ (@kiandawa14) 's Twitter Profile Photo

Wakuu INJILI ya Leo (Mathayo 5:27πŸ“–) ilikuwa ya Moto sana hasa kwa sisi vijana kuhusu suala la kuziniπŸ’”πŸ™Œacha nipate Wine niupe mwili wangu poleπŸ€’

MK 7bits # (@kabaisa_jr) 's Twitter Profile Photo

Soma kimakonde πŸ‘‡ Shinda njozilifanya mimi nikaembali na familia yangu 'lakini mimi nampenda nke yangu sana 😁

Soma kimakonde πŸ‘‡

Shinda njozilifanya mimi nikaembali na familia yangu 'lakini mimi nampenda nke yangu sana 😁
The champπŸ‘‘ (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeenda duka la madawa hata haniulizi , kashusha azuma na P2, . Kaniwekea kwenye bahashaπŸ€’πŸ’”..Sasa kama yeye mtaalam kaona zinafaa kwanini nikatae japo mimi nilienda kwa mambo mengine.