LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile
LSF

@lsftanzania

LSF is the basket fund organisation that strives to increase access to justice for all especially women and girls through legal empowerment approach.

ID: 1425295855

calendar_today13-05-2013 11:22:24

3,3K Tweet

6,6K Followers

334 Following

LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile Photo

"Changamoto zinazowakumba wanawake ni Pamoja na kuwepo kwa Mfumo Dume , kukatishwa tamaa, mila na desturi kandamizi hivyo kuna haja ya wanawake kuwa na ujasiri na kufanya maamuzi ya kushiriki bila kuogopa. Nafasi za Wanawake kwenye Uongozi bado zipo ndogo sana hapa Arusha kati

Baadhi ya Washiriki Mbalimbali wakichangia Mada katika Mdahalo ulioendeshwa na LSF wa Kujadili Nafasi ya Wanawake kwenye Uongozi na Tanzania inayotarajiwa kwenye Masuala ya Uongozi. #CSOWeek2024

Baadhi ya Washiriki Mbalimbali wakichangia Mada katika Mdahalo  ulioendeshwa na LSF wa Kujadili Nafasi ya Wanawake kwenye Uongozi na Tanzania inayotarajiwa kwenye Masuala ya Uongozi.

#CSOWeek2024
CSO WEEK (@csoweek) 's Twitter Profile Photo

Outreach 4: Kigoda cha Mwanamke wa Kimasai: An outreach program initiated by LSF in partnership with Vodacom Tanzania Foundation , aims to amplify the voices of marginalized Maasai communities, particularly women and youth, in shaping their future and the future of Tanzania. The

Outreach 4: Kigoda cha Mwanamke wa Kimasai:
An outreach program initiated by LSF  in partnership with Vodacom Tanzania Foundation , aims to amplify the voices of marginalized Maasai communities,
particularly women and youth, in shaping their future and the future of Tanzania.

The
LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile Photo

We are pleased to maintain our collaboration with Stanbic Bank Tanzania in delivering initiatives that support the empowerment of women and girls by enhancing education, reproductive health, and economic opportunities. Together, we are dedicated to promoting gender equality and

CSO WEEK (@csoweek) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa "Wanawake Tunaweza" chini ya LSF ambapo wamejiajiri kwa kutengeneza urembo na taulo za kike ambazo ni reusable na mwanamke akiwa nazo saba anaweza tumia mwaka mzima. #WikiYaAzaki2024 #CSOWeek2024 #SautiMaonoThamani

Mradi wa "Wanawake Tunaweza" chini ya LSF ambapo wamejiajiri kwa kutengeneza urembo na taulo za kike ambazo ni reusable na mwanamke akiwa nazo saba anaweza tumia mwaka mzima.
#WikiYaAzaki2024
#CSOWeek2024
#SautiMaonoThamani
CSO WEEK (@csoweek) 's Twitter Profile Photo

Tunashukuru kwa kufanya kazi na sisi na kutambua mchango wetu kusukuma mabadiliko chanya katika jamii hasa kugusa wanawake na wasichana kwa kuwawezesha kielimu na kiuchumi. Vodacom Tanzania Foundation LSF #WikiYaAzaki2024 #CSOWeek2024 #SautiMaonoThamani

Tunashukuru kwa kufanya kazi na sisi na kutambua mchango wetu kusukuma mabadiliko chanya katika jamii hasa kugusa wanawake na wasichana kwa kuwawezesha kielimu na kiuchumi.
Vodacom Tanzania Foundation

LSF
#WikiYaAzaki2024
#CSOWeek2024
#SautiMaonoThamani
CSO WEEK (@csoweek) 's Twitter Profile Photo

"Tunashukuru kwa ajili ya mradi huu wa "Wanawake Tunaweza" katika Kata yetu ya Kimokouwa hapa Wilayani Longido. Kupitia mradi huu jamii yetu imeweza kubadilisha mtazamo hasa wanaume ambapo sasa tunashirikiana na wazee wa kimila na vijana wa kiume "Male Champions" kukuza ushiriki

"Tunashukuru kwa ajili ya mradi huu wa "Wanawake Tunaweza" katika Kata yetu ya Kimokouwa hapa Wilayani Longido.
Kupitia mradi huu jamii yetu imeweza kubadilisha mtazamo hasa wanaume ambapo sasa tunashirikiana na wazee wa kimila na vijana wa kiume "Male Champions" kukuza ushiriki
CSO WEEK (@csoweek) 's Twitter Profile Photo

Angel Mollel mratibu wa mradi wa "Wanawake Tunaweza" chini ya LSF na shirika la North & South kutoka Luxembourg anaelezea namna mradi umeleta manufaa kwa jamii ya wana Kata ya Kimokouwa hususani wanawake kwa kuwawezesha kujua haki zao kisiasa na kiuchumi na pia kujiajiri

Angel Mollel mratibu wa mradi wa "Wanawake Tunaweza" chini ya LSF na shirika la North & South kutoka Luxembourg anaelezea namna mradi umeleta manufaa kwa jamii ya wana Kata ya Kimokouwa hususani wanawake kwa kuwawezesha kujua haki zao kisiasa na kiuchumi na pia kujiajiri
LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ni muendelezo wa Jukwaa la Azaki kwa Mwaka 2024, LSF kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania Foundation imeendesha Majadiliano na Wananchi wa Wilaya ya Longido yajulikanayo kama "Kigoda cha Mwanamke wa Kimasai" yaliojikita Kujadili nafasi ya Wanawake wa Kimasai katika Uongozi na Nafasi

"Wanawake katika kata ya Longido wakithubutu Kugombea nafasi za Uongozi wanaulizwa maswali ya kejeli kama vile "Unajua Mahali Wanaume wanapeleka ngombe kwenye Malisho?" Maswali haya yana nia yakutukatisha tamaa tu, Ila Binafsi kama Kiongozi kwa sasa nina Wanawake 12 ambao

"Mimi ni Kiongozi wa Mila ambaye tulipata Mafunzo toka LSF na kuwa Wazee Mashuhuri tunaoamasisha Wanaume wenzetu kuruhusu Wanawake kushiriki Shughuli za Kiuchumi nimefanya hivyo kupitia vikao vyetu vya wazee wakimila, sherehe mbalimbali na mikusanyiko ya wazee na asilimia kubwa

"Wanawake tunaweza katika nyanja zote za maendeleo, Uongozi na katika maeneo mengi na ndio maana mimi kama Mwenyekiti wa Vikundi vya Wanawake zaidi ya 300 nahakikisha Wanawake Wanajiamini na kuwa na Uthubutu wa kushiriki katika Nafasi za Maamuzi kwani wakiwemo katika nafasi hizo

Wanawake wa Jamii ya Kimasai wakiuza Bidhaa zao kwa Wadau Mbalimbali wa Azaki Waliotembelea Wilaya ya Longido Kushiriki katika Mdahalo wa pamoja kuhusu "Kigoda cha Mwanamke wa Kimasai" ikiwa ni sehemu ya Jukwaa la Azaki kwa Mwaka 2024. #WikiYaAzaki2024

Wanawake wa Jamii ya Kimasai wakiuza Bidhaa zao kwa Wadau Mbalimbali wa Azaki Waliotembelea Wilaya ya Longido Kushiriki katika Mdahalo wa pamoja kuhusu "Kigoda cha Mwanamke wa Kimasai" ikiwa ni sehemu ya Jukwaa la Azaki kwa Mwaka 2024.

#WikiYaAzaki2024
LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa wiki ya Azaki wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kumaliza mjadala na jamii ya kimaasai kuhusu wanawake na uongozi. #CSOWeek2024 #VoiceVisionValue #WikiYaAzaki2024

Wadau wa wiki ya Azaki wakiwa katika picha ya Pamoja baada ya kumaliza mjadala na jamii ya kimaasai kuhusu wanawake na uongozi.
#CSOWeek2024 #VoiceVisionValue #WikiYaAzaki2024
LSF (@lsftanzania) 's Twitter Profile Photo

Jacquiline Ikwabe, Mkuu wa Biashara ya MPesa akiongea wakati wa mjadala wa kigoda cha mmasai uliofanyika katika wilaya ya Longido, Vodacom Tanzania Foundation imeshirikiana na LSF kuaandaa mjadala huo kwa lengo la kusikia sauti za wananchi ili kuwafikia wananchi hasa wa pembezoni

Mkurugenzi Mtendaji wa LSF Bi Lulu Ng'wanakilala akiteta jambo na wadau Azaki waliotembelea mradi wa Wanawake Tunaweza unaotekelezwa katika Wilaya ya Longido na kusikiliza kutoka kwa wananchi juu ya maoni yao mbalimbali ikiwemo ushiriki wa wanawake wa jamii ya kimaasai katika

Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari ya Namanga Mtesigwa Misana, akitoa maelezo kwa wadau wa Asasi za kiraia juu ya mradi wa Wanawake Tunaweza ulioweza kuwapatia Bweni jipya la kisasa la wanafunzi wa kike 120 na kuondoa uhaba wa malazi kwa Watoto wakike shuleni hapo ambao idadi yao

Katika kuwahakikisha uendelevu wa mashirika yasiyoya kiserikali ni muhimu kuboresha mifumo, kushirikisha jamii katika kutatua changamoto zao, kuhakikisha dhana ya kujitolea kwa mashirika yasiyo ya kiserikali na kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali kutoka kwa jamii na Serikali.