Kings FM Radio
@kingsfmradio
Ukurasa Rasmi wa Kituo cha Redio cha KingsFM 👂Tusilikize kupitia 89.5 kwa nyanda za juu kusini ☢️Tusikilize popote duniani kwa Application ya TuneIn&RadioBox
ID: 2241428942
https://www.kingsfm.co.tz 11-12-2013 22:09:59
8,8K Tweet
2,2K Followers
694 Following
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Deo Mwanyika Oktoba 19, 2024 amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Mwanyika amejiandikisha katika Mtaa wa Uwemba,Njombe
"HALI YETU YA UCHUMI NI NZURI" ______________ Deo Mwanyika, Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini 📷 Bunge la Tanzania #kingsfmradio #jisikiemfalme #njombe #2024kifalmezaidi