@kimephr
OPTIMISM.
ID: 1687592600461578240
calendar_today04-08-2023 22:33:48
1,1K Tweet
716 Takipçi
913 Takip Edilen
5 hours ago
🔥The 9th Round of Easy Loan, Earn $40 Reward is in progress❗️ ⏰ Promotion Period: January 15th - Feburary 15th, 2025 👉 Register now and check more details at gate.io/campaigns/358
a month ago
Ukiwa Nairobi treat kila mtu Kama mwizi
Akili inagonga tu kutoka block
Kumbe changamoto kwa kizungu ni hot sand
Sahii Kuna Dildo iko Round ya Saba alafu Kuna wewe. 😭
So you and your boyfriend both have earrings 😂
We unaringanga na pesa za babako lakini mimi babangu anaringanga na zangu ~Scar mkadinali
Unaskiza playlist ya toxic lyrikali unaskia ushakua mauru
Hizo salamu zako jiwekee,kama haihusu bizz hiyo ambia dem wako
Kama nilikua nimekwambia utume kitu usitume nishapata😂😂
Huku kunanuka tu utiaji kumbe nivile kumejaa matp na walimu
on a serious note
Next year wazungu watakuwa wanakuja kwangu kuona true love
Alinipikia chakula vibaya nikamwambia"i think we are dania"😑😂🚮
Moja kwa moja mpaka kwa muuzaji wa stimulants 🤗
Hii pesa ya mjego nayo haiwezi sort hizo emergency zenu
Unasema life ni hard na grandparents wako wanaongea in English
Dalili ingine ya kuwa maskini ni kuwa mrefu
Nimeomba dem wa Nakuru picha,na sai tuko picha ya saba na hajanionyesha meno Bado 😭
ukiwa broke motivational quotes huo zinamake sense Sana