Kigoma Region Tanzania(@KigomaTanzania) 's Twitter Profileg
Kigoma Region Tanzania

@KigomaTanzania

Watu kutoka Mkoa wa Kigoma hukusanyika hapa ili kushiriki habari na kuungana na marafiki.

ID:1161220800478941185

calendar_today13-08-2019 10:19:48

1,8K Tweets

1,2K Followers

320 Following

Kigoma Region Tanzania(@KigomaTanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1957 ilibadilishwa jina na kuitwa LIEMBA, neno linalotoka kwenye jamii ya Kifipa likiwa na maana ya 'Kwenye Maji''.

Mwaka 1957 ilibadilishwa jina na kuitwa LIEMBA, neno linalotoka kwenye jamii ya Kifipa likiwa na maana ya 'Kwenye Maji''.
account_circle
Kigoma Region Tanzania(@KigomaTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kigoma ni sehemu ndogo, salama, lakini bado ina kila kitu unachohitaji.
Kuna jamii ndogo ya watu kutoka nje ya nchi, kama vile Burundi, Congo DR, Rwanda, German na India.

account_circle
Kigoma Region Tanzania(@KigomaTanzania) 's Twitter Profile Photo

Hali ilivyo katika kijiji cha Mgambo kata ya Buhingu.
Maji yanazidi kuvamia makazi ya watu kutokana na mawimbi ya ziwa Tanganyika. Shughuli zimesimama kwa baadhi ya wafanyabiashara.

Hali ilivyo katika kijiji cha Mgambo kata ya Buhingu. Maji yanazidi kuvamia makazi ya watu kutokana na mawimbi ya ziwa Tanganyika. Shughuli zimesimama kwa baadhi ya wafanyabiashara.
account_circle