KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile
KenRelBis

@kenrelbis_

.FACTS ENTHUSIAST ... ✍️
Content Prenuer | MC/Event Host | Radio & TV Personel
Niko Live Mondays 7 :05 to 9:30 Pm Y254Channel l
📩 [email protected]

ID: 786184272147165184

calendar_today12-10-2016 12:38:31

3,3K Tweet

1,1K Takipçi

236 Takip Edilen

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Age Between 20-30 , Nikama Unapenya Hupenyi , Nikama Unapata Hupati , Nikama Unashika Inaponyoka , Nikama Unajua Hujui 😟

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Mama is getting older everyday and I'm still on the street grinding to make sure she reap the best fruit of her labour , God I know I'm a sinner , but please put some more smile on my Hustle because of her 🙏🏾🙏🏾

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Ukimpata Kijana mpambanaji usimuache , Huyo ni asset Kwako , ndio tajiri Wa kesho , tajiri Wa Leo alikuwa kijana mpambanaji Wa Jana , vumilia matunda yanakuja usimkimbie watachuma wenzio matunda wasiyoyapambania .....

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Msituwekee miba kwenye njia zetu za riziki sababu tukishindwa Kufikia malengo Yetu hamtoweza kubeba maumivu ya ambao wanatutegemea Huko tulikotoka. Tuacheni tuendelee na safari zetu za mapambano ya kutafta riziki Kwa jasho letu maana sisi kwetu Kila mechi ni mechi ya ugenini.

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Mwisho Wa Siku ! Nobody Knows how hard you work for your shit . How lonely you feel at times , how much sleep you loose, so always put YOURSELF FIRST

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Try as Much as Possible Kujua Dhamani Ya Mtu Ambaye Anakuthamini Kwasababu Ipo Siku Unaweza Kusema Kuna Watu Wamemlisha Maneno Ili Asikupe Thamani Tenaa Kumbe ni Matendo Yako Tu Ndio Yamebadilisha Kila Kitu.

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Kuna tofauti ya marafiki na watu mnaofahamiana. Ukiniona na watu haimaanishi ni marafiki zangu inawezekana tunaongea tu kama binadamu. Rafiki ni title kubwa sana mtu kuibeba

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Overthinking is the biggest waste of human energy. Trust yourself, make a decision, and gain more experience. There is no such thing as perfect . You cannot think your way into perfection , just take action .

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Bro kama huna mtu wa kumuambia yanayokupa msongo wa mawazo, muambie hata Mungu mara kwa mara tena kwa sauti kabisa, inasaidia. Tunajikaza sana, tunasema “ndo uanaume” ila moyo hauna jinsia. Kichwa cha familia kuwa na afya ya akili inayumba ni kama kuomba ndege ikushushie njiani.

KenRelBis (@kenrelbis_) 's Twitter Profile Photo

Many artists are all about that 'blowing up' life, but what happens next? To truly make it, you've gotta think long term. Have a plan for when your songs take off and never rest on your laurels. Stay hungry, stay ready for whatever's next. ©INTERFINEMUSIC.COM

Billy, The GOAT (@_crazynairobian) 's Twitter Profile Photo

Let's Tweet for our buddies... Every tweet counts 💪🏾 #FreeFranje #FreeZaddock #FreeDreyMwangi #FreeGabrielOguda #FreeHillah #FreeShad #RejectFinanceBill2024

Let's Tweet for our buddies... Every tweet counts 💪🏾

#FreeFranje
#FreeZaddock
#FreeDreyMwangi
#FreeGabrielOguda
#FreeHillah
#FreeShad
#RejectFinanceBill2024