Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile
Katiba TV

@katiba_tv

The Official Tanzanian Constitution Forum/Jukwaa la Katiba Tanzania Online tv📺.

ID: 1235121796275466242

linkhttps://www.youtube.com/channel/UCaAYlzcli8OXK7unsIKk7CA?view_as=subscriber calendar_today04-03-2020 08:36:44

2,2K Tweet

1,1K Followers

21 Following

Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

#HojaYakoMezani "Nafasi ya sekta ya uziduaji katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu" YouTube youtu.be/z1mVB5qAQCQ Mwongozaji Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga

#HojaYakoMezani 

"Nafasi ya sekta ya uziduaji katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu"

YouTube youtu.be/z1mVB5qAQCQ 
Mwongozaji <a href="/ezekiel_kamwaga/">Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga</a>
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

MAHAKAMA YASITISHA MARUFUKU YA MIKUTANO YA KISIASA KENYA Mahakama Kuu imeeleza kuwa Kamati ya Usalama haina Mamlaka ya kuiamuru Idara ya Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa.

MAHAKAMA YASITISHA MARUFUKU YA MIKUTANO YA KISIASA KENYA

Mahakama Kuu imeeleza kuwa Kamati ya Usalama haina Mamlaka ya kuiamuru Idara ya Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa.
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

LSF imezindua mpango mkakati wa miaka mitano 2022-2026 wenye baadhi ya vipaumbele vya kusaidia upatikanaji wa haki nchini na kuweka mazingira bora kwa mwanamke kupata haki zao na kuchangia katika shughuli za uchumi na kuwainua wasichana.

TOZO KUENDELEA KUWEPO "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500" Ameongea Rais Samia akiwa Tegeta leo asubuhi.

TOZO KUENDELEA KUWEPO

 "Januari tuna wimbi kubwa la Watoto wanataka kuingia Sekondari. Hakuna wa kutujengea ni sisi wenyewe. Fedha zitakazokusanywa Septemba na Oktoba zitaenda kujenga madarasa zaidi ya 500" Ameongea Rais Samia akiwa Tegeta leo asubuhi.
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU WA HAITI AZUIWA KUTOKA NJE YA NCHI Waziri Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse Ariel ametakiwa kuelezea uhusiano wake na mtuhumiwa muhimu.

WAZIRI MKUU WA HAITI AZUIWA KUTOKA NJE YA NCHI

Waziri Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse

Ariel ametakiwa kuelezea uhusiano wake na mtuhumiwa muhimu.
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

VIFO 719 VYA #COVID19 VYARIPOTIWA TANZANIA Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha jumla ya maambukizi 25,846 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona. Mpaka sasa Watu 45 wapo ICU na idadi ya waliopata Chanjo imefikia 382,726. Tanzania ilipokea chanjo 1,058,400 kutoka Marekani.

VIFO 719 VYA #COVID19 VYARIPOTIWA TANZANIA

Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha jumla ya maambukizi 25,846 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona.
Mpaka sasa Watu 45 wapo ICU na idadi ya waliopata Chanjo imefikia 382,726. Tanzania ilipokea chanjo 1,058,400 kutoka Marekani.
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

MTANDAO WA WHATSAPP WATOWEKA HEWANI Ni zaidi ya dk 60 zimepita bila mtandao huu kufanya kazi jambo ambalo Sio la kawaida. Hakuna ujumbe unaoingia kwenye Simu au kutumwa. #WhatsApp

MTANDAO WA WHATSAPP WATOWEKA HEWANI

Ni zaidi ya dk 60 zimepita bila mtandao huu kufanya kazi jambo ambalo Sio la kawaida. Hakuna ujumbe unaoingia kwenye Simu au kutumwa.
#WhatsApp
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la LSF Lulu Ng'wanakilala akizungumza na wakurugenzi wa mashirika ya watoa huduma za msaada wa kisheria pamoja na wasaidizi wa kisheria zaidi ya 200 kutoka Tanzania wakati wa mkutano wa siku mbili wa wanufaika wa LSF uliofanyika Dodoma kuanzia jana

MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Prof. Edward Hoseah akitembelea banda la TLS katika maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayofanyika kitaifa mkoa wa Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.

MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA

Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Prof. Edward Hoseah akitembelea banda la TLS katika maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayofanyika kitaifa mkoa wa Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera amefungua rasmi leo maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayofanyika kitaifa mkoa wa Mbeya viwanja vya Ruanda Wakati akitembelea banda la TLS Juma Homera ameiomba TLS kuendelea kuwatumia wataalamu kuweza kuwasaidia wananchi wengi.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera amefungua rasmi leo maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayofanyika kitaifa mkoa wa Mbeya viwanja vya Ruanda

Wakati akitembelea banda la TLS  Juma Homera ameiomba TLS kuendelea kuwatumia wataalamu kuweza kuwasaidia wananchi wengi.
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

Prof. Anna Tibaijuka aipongeza Benki ya Tanzania Agricultural Development Bank kwa ubunifu. "Naipongeza Benki ya TADB,kwa ubunifu wa kuguarantee mikopo kwenye benki za biashara.Natumai riba haitazidi 9%,yaani kilimo bila single digit interest huwezi kutoboa" Prof.ameandika ktk mjadala wa diplomasia na uchumi

Prof. <a href="/AnnaTibaijuka/">Anna Tibaijuka</a> aipongeza Benki ya <a href="/tadbtz/">Tanzania Agricultural Development Bank</a>  kwa ubunifu.
"Naipongeza Benki ya TADB,kwa ubunifu wa kuguarantee mikopo kwenye benki za biashara.Natumai riba haitazidi 9%,yaani kilimo bila single digit interest huwezi kutoboa" Prof.ameandika ktk mjadala wa diplomasia na uchumi
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

Mawakili 313 wameapishwa hii leo Katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam na Jaji mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma. Jaji mkuu amewataka Mawakili kuwa na nidhamu na kufikiria mbali zaidi kuliko kusubiri ajira.

Baada ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kutoka nje ya Bunge leo akionesha kutoridhishwa na majibu ya Serikali yanayobadilika kuhusu Wananchi wanaodai fidia maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara ametangaza kuongea na vyombo vya habari mapema siku ya kesho.#Bunge

Membe Afariki Dunia Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo

Membe Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

MADAKTARI WAANZA MGOMO WA SIKU 5 NIGERIA WAKISHINIKIZA MASLAHI BORA Madaktari wa Hospitali za Serikali wamegoma kuanzia Jana kutokana na Mamlaka kutotimiza mahitaji yao ikiwemo maboresho ya Mishahara na malipo mengine Hata hivyo Serikali imedai mgomo huo sio halali

MADAKTARI WAANZA MGOMO WA SIKU 5 NIGERIA WAKISHINIKIZA MASLAHI BORA

Madaktari wa Hospitali za Serikali wamegoma kuanzia Jana kutokana na Mamlaka kutotimiza mahitaji yao ikiwemo maboresho ya Mishahara na malipo mengine
Hata hivyo Serikali imedai mgomo huo sio halali
Katiba TV (@katiba_tv) 's Twitter Profile Photo

Wabunge wa Uganda wamehoji na kupinga Bajeti ya takriban Tsh. Bilioni 159.49 iliyotengwa kwaajili ya Matumizi ya Ofisi ya Rais Museveni ambayo inajumuisha Tsh. Milioni 221.7 za kununua Mavazi ya Rais na Tsh. Milioni 380.1 za kununua Samani kila mwaka.