#WenyeNchiWananchi
@katibampyatz_
We are active citizens and activists ,here to demand a new constitution in Tanzania| #KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi |
📩 [email protected]
ID: 1183333434078498816
https://tanzaniakatibampya.com 13-10-2019 10:48:09
21,21K Tweet
14,14K Followers
181 Following
Msukumo wa Jumuiya ya Kimataifa unaweza kusaidia kumaliza matukio ya mauaji na utekaji Kwa kuchukua hatua zaidi kuliko matamko. Inatakiwa kushinikiza hatua ambazo zitatoa haki kwa waliofanyiwa ukatili. — Tundu Antiphas Lissu #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…
The government of Tanzania should restore job openings for government-paid medical staff at medical facilities, including Endulen Hospital at Ngorongoro Conservation Area. ― Human Rights Watch #StopMaasaiEviction #ChangeTanzania bit.ly/3MqDKx3
Nchi inatakiwa kutoka katika dhana ya kutawala nchi kwa kuiba uchaguzi ambapo inaambatana na kutisha na kuua watu ambao hawawezi kupokea rushwa na maelekezo ya watawala. — Tundu Antiphas Lissu #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…
Tanzania inatakwa kupata mifumo bora ya kuingia katika utawala. Serikali imefikia hatua ya kutengeneza utawala wa vitisho ili iweze kutawalika. Hili halikubaliki wananchi wanatakiwa kuwa huru. — Tundu Antiphas Lissu #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…
Serikali ya Tanzania inapaswa kurejesha nafasi za kazi kwa watumishi wa afya wanaolipwa na serikali katika vituo vya matibabu, ikiwa ni pamoja na Hospitali ya Endulen katika Hifadhi ya Ngorongoro. ― Human Rights Watch #StopMaasaiEviction #ChangeTanzania bit.ly/3MqDKx3