KARIAKOO_KID๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kariakoo_) 's Twitter Profile
KARIAKOO_KID๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@kariakoo_

@manUtd & @YoungAfricansSC. A.K.A NKULUNZINZA ๐Ÿ˜Ž

ID: 1412325561473585152

calendar_today06-07-2021 08:20:55

46,46K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Boniface Chengula (@bohny_chengula) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi watamani kufanya biashara lakini kuna hii fursa ya kutengeneza European cars, mafundi wetu wengi wabahatishaji, mtu aende South Africa akajifunze au Europe akajifue hata miaka miwili then arudi bongo, hela ipo nje nje Haya magari ni mazuri sana, shida mafundi๐Ÿฅฒ

Watu wengi watamani kufanya biashara lakini kuna hii fursa ya kutengeneza European cars, mafundi wetu wengi wabahatishaji, mtu aende South Africa akajifunze au Europe akajifue hata miaka miwili then arudi bongo, hela ipo nje nje

Haya magari ni mazuri sana, shida mafundi๐Ÿฅฒ
Sadah Chelsea๐Ÿ’™ (@sadahmsangi) 's Twitter Profile Photo

Kila tunapoamka na kulala tumshukuru Mungu. Pia tusisahau kumuomba Mungu katika harakati zetu za kila sikuโ€ฆ mda wowote na saa yoyote jina linaweza kubadilika aseeโ€ฆ pole sana Nonobanks โค๏ธ Mungu akuponye haraka, akuondolee maumivu yote ulionayo. Urudi kwenye hali yako ya kawaida.

ELON (@john__himself) 's Twitter Profile Photo

Kuna wengine humu ni kazini ukiona hamuendi sawa pita hivi kiroho safi, Huwezi kwenda sawa kwenye kila kitu na kila mtu

Bob kipara (@_yourboyli4) 's Twitter Profile Photo

Niko ghetto mwaka wa 4 ila kupika wali kwa jiko la gas limekuwa suala personal sana, kitu cha mkaa aisee๐Ÿคฆ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kuna baadhi ya ngoma huwezi zipenda kama huteswi na MAPENZI.... Na siku MAPENZI yakianza kukuchapa ndio kipindi ambacho unaanza kuziona Mpya sasa ๐Ÿ˜…

KARIAKOO_KID๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kariakoo_) 's Twitter Profile Photo

Upo zako unawaza siku uje kwenda oldtrafold au bernabeu kumbe kuna mtu uko tarime anandoto zakuja kufika kwa mkapa na ameapa awezikufa bila kufika kwa mkapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

safari mlevi (@safarimlevi) 's Twitter Profile Photo

BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabay

Jizzle Mwakaripost (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Nimepita mahali nikahisi wamasai wa Melela Moro wametoa deal la kupush nyama choma baadae sana nakuja kugundua kuwa ni paja la mtu aliyewahi kupata ajali ya moto. Nampa sana pole japo location haikuwa sahihi

KINCAID๐Ÿ’ฐ (@amourgingi) 's Twitter Profile Photo

Hivi ukimuomba mdada namba akakuuliza "Namba yangu nikupe ya Nini?" Ukamjibu "Nataka nikuoe uwe mke wangu." Ni kosa jmn ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜

TICHA MANDEVU13 (@tichamandevu) 's Twitter Profile Photo

Upo na mke wa mtu geto then umekaaa unasikia mtu anaongea na simu dirishani kwako " alooo wanangu wahini fasta mafuta msibebe tutakua tunachovya Ute wa mke wangu"๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡

Upo na mke wa mtu geto then umekaaa unasikia mtu anaongea na simu dirishani kwako " alooo wanangu wahini fasta mafuta msibebe tutakua tunachovya Ute wa mke wangu"๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡