Jonas Justin Mshema (@justinmshema) 's Twitter Profile
Jonas Justin Mshema

@justinmshema

If direction is wrong then speed is irrelevant #cfc #simbasc๐Ÿฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ID: 2893458155

calendar_today26-11-2014 15:54:03

6,6K Tweet

702 Followers

831 Following

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Kitu kingine ambacho unapata kwenye maaandiko ni uelewa jinsi Mungu alivyofanya kazi na mtu fulani kwenye kitu unachoombea. Unapata uhakika kama hiki kitu kilimtokea mtu kwenye maandiko na Mungu akamsaidia kwa njia ile na mimi atanisaidia. So ufahamu wako namna Mungu alimsaidia

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Tunaanzia wapi kuomba?? Tunaanza kuomba kwa kuorodesha vitu ambavyo unataka Mungu asikie. Ukishamaliza kuorodhesha unampelekea Mungu kwa njia ya kuongea ulichoandika. Hii ndiyo maana ya kuomba. Kuomba ni kuzungumza na Mungu. Kuomba ni kumpelekea Mungu mahitaji yako. Kuisikisa

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Krismasi ikukumbushe ahadi ya Agano jipya, ni ahadi ya wokovu, Yesu kuja kukaa ndani ya mioyo ya wanadamu. Kula wali wakati Yesu hayupo ndani yako unasherehekea siku na kula siyo kuja kwa wokovu Duniani. Kuzaliwa kwa Yesu ni udhihirisho wa mtu anayeitwa wokovu. Alleluia.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Yesu anakupenda anza mwaka na kumjua yeye. Tubu dhambi zako mpokee moyoni mwako. Utakuwa umeanza safari na Yesu. Utakuwa umeanzisha mahusiano yako na Mungu. Anza mwaka na Mungu. Njoo kwa Yesu.

๐‘๐ž๐Ÿ๐จ๐ซ๐ฆ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Maisha yamenifundisha wazi kuwa mtu yeyote anaweza kubadilika bila kujali historia au ukaribu wenu. Watu hubadilika wanapokutana na watu wapya wanaowaona bora kuliko wewe. Tambua hali hii mapema. Endelea na maisha yako. Usiruhusu vitendo vyao vikuyumbishe.