Julius (@julius_mza) 's Twitter Profile
Julius

@julius_mza

no bio

ID: 1782292206339883009

calendar_today22-04-2024 06:16:32

67 Tweet

51 Takipçi

36 Takip Edilen

Mchachu, PhD🐐 (@mchachu_) 's Twitter Profile Photo

Ukipewa nafasi ya kufundisha Somo moja Sekondari, Somo Lipi uko tayari mkuu..?🤷‍♂️ -Hesabu -Geography -Civics -Physics -Chemistry -Biology -English -Kiswahili -History

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mfungwa aliyekuwa amemaliza kutumikia kifungo cha miaka 27 jela, amekamatwa tena baada ya kuiba mashuka ya waliokuwa wafungwa wenzake siku aliyokuwa anatoka jela.

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Kufanya Research. Kama wewe ni Jobless unataka kusave pesa zako fungua account ya fahari Crdb hii haina makato ya mwezi, makato yake ni kwa mwaka tuu. Ipo vizuri sana.

CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

Wanangu Toka Nione Vile Vidonge Asubuhi kwenye Kibegi cha Demu Hata Kijiweni Sijaenda Nina Mawazo Sana Na Izo Coment zenu Nazidi Kupagawa.

Wanangu Toka Nione Vile Vidonge Asubuhi kwenye Kibegi cha Demu Hata Kijiweni Sijaenda Nina Mawazo Sana Na Izo Coment zenu Nazidi Kupagawa.
Eng Jubel (@engjubel) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndizo ajali kubwa za meli za abiria kuwahi kutokea…🧵 NB: Picha na maudhui ni katika kufahamu historia na tuwaombee mashujaa na ndugu zetu wapumzike salama.

Hizi ndizo ajali kubwa za meli za abiria kuwahi kutokea…🧵

NB: Picha na maudhui ni katika kufahamu historia na tuwaombee mashujaa na ndugu zetu wapumzike salama.
chuga girl❣️ (@lizzie36021) 's Twitter Profile Photo

Jitaidi sana 👇 Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo! Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo! Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi! Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu! Parachichi &

goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa tunatoka kweny FAMILIA zinazotofautiana kuna familia ambazo WALISHATAFUTIWA HELA kazi yao ni KUZITUMIA tu na kuna sisi ambao kazi yetu ni KUTAFUTA HELA kwa ajili ya matumizi ya familia. Morning Africa.

chuga girl❣️ (@lizzie36021) 's Twitter Profile Photo

WANAUME 👇 Mafanikio mengi yapo kwa Mwanamke📌 Tafuta mwanamke mmoja ambaye alishawahi kumiliki akili na bado anazilinda 📌 Muweke karibu yako mpe idea zako kisha MPENDE📌 Nakutakia jumatatu njema😊