hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile
hassanmwakinyo_

@jrmwakinyo

i came from nothing but through faith and commitment to my craft, I am going to get what's mine

ID: 1192021724981874690

linkhttps://www.twitter.com/jrmwakinyo calendar_today06-11-2019 10:11:50

1,1K Tweet

20,20K Followers

10 Following

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

"Katika Mambo ya kuogopa Usiamin mwanamke akiwa anakulilia na usiamini mwanaume akiwa anakuchekea" ni vitu rahisi kwa wote wawili vyenye maana tofauti na hua havimaanishi chochote"

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Nakumbuka siku moja Kaka yangu Mh @mwanafa alinambia ya kua champ maneno yamekua mengi sana ukipata fight hakikisha mtu anaumia kweli” end this is what i did #Coloradoking 💪 Thanks for all Mogadishu family 🙏

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Ikimpendeza mama yetu Samia sulu hassan mgunda na Emedy moroko wasiishie kupewa taifa stars tu wapewe pia na tanesco wanacho kitu watatusaidia…😀

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

hakuna sababu inayoweza kutosha kumfanya ndugu wa damu yako kuwa adui wako lakini inapo bidi kuwa adui kamwe usimfanye kuwa rafiki Katika mazoezi ya uvumilivu wa maisha adui wa mtu ndiye mwalimu bora

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Watu wengine huumizwa kwa maneno wengine kwa vitendo na wengine kwa ukimya Lakini kuumia kubaya zaidi ni pale unapo puuzwa na watu ulio wapenda na kuwathamini sana

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Juzi nili panda flight kutoka dar kwenda tanga nikakutana na mdada amechoma sindano kwa ajili ya kukulza lips zake aloo akikutazama lips za midomo yake ni kama ngamia anakunywa maji kwenye beseni 🤣🤣🤣

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

hakuna faida ya kuendelea kua na washikaji wakaribu kama huna msaada na cheo, au nafasi, zao walizopo, maisha ya akhera yatatenganisha watu wema na wabaya hivyo kama wanao hawata kufaa Leo ukiwa hai dunian kwa nafasi zao 🙌 haifai kuendelea nao….🤞

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi watu wenye hekma” huwanyamazia wajinga sababu watu wajinga huibua maswali mengi ambayo watu wenye hekima walishajibu miaka elfu moja iliyopita na ndio maana hakuna anaeweza kukadiria kiwango cha hekma za mtu sawa. kama unavyoweza kukadiria kiwango cha ujinga wa mtu.

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Hii style inaitwa dance de la pokko …. they didn’t expect wallah 😂😂😂 yani kile kikundi flani cha watu wenye dhamira za hovyo kwangu hawakutegemea kama ningeweza kupindua meza namna ile inaitwa funga geti vunja geti’

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

sio tu kila mtu ila ni mtu wa watu mtu sharp kuntu na ni mtu mbavu sio mtu kavu huyu mtu ana utu na love ukileta ukavu tutakupa ubichi ” 💪🏾 coloradoKings.👊🏿

Jishughulishe zaidi na tabia yako kuliko sifa yako, kwa sababu tabia yako ndivyo ulivyo, wakati sifa yako ni vile wengine wanavyofikiri kuhusu wewe…🍲

msamaha ni haki ya anae omba na kwa Mungu pia lakini Wakati mwingine kumpa mtu nafasi ya pili ni sawa na kumpa risasi ya ziada kwa bunduki , iliyo tumika kukukosa mara ya kwanza” hajabadilka Mungu wala mtume wakati mnanikosea TUSITAFUTANE” 🙌