hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile
hassanmwakinyo_

@jrmwakinyo

i came from nothing but through faith and commitment to my craft, I am going to get what's mine

ID: 1192021724981874690

linkhttps://www.twitter.com/jrmwakinyo calendar_today06-11-2019 10:11:50

1,1K Tweet

21,21K Takipçi

10 Takip Edilen

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Nilikua najiuliza sana kwa nini Floyd maywether Ngumi zake haziumi 😀😀 kumbe ni diddy family hana kifungo hata kimoja cha shati…🙆‍♂️

Ukiwa hai hakuna anae jali kuhusu maisha yako. ukifa wataulizwa watu wa karibu yako walijifunza nini kwako wakati wa uhai wako

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Sijui na wenzangu mko hivyo au ni mimi tu 😅 yani mimi hua napata vitu vingi vya kufanya kichwan wakati ambao 💸akiba yangu yote nimeshakula maandazi ya sukari.. zile mambo za maskani mwana huyu ana madini sana ukikaa nae ni uwongo njaa ndio zinakuaga hivyo

hela inatabia zake na watu wana tabia zao ukifanikiwa kupata hela. Hekima inahitajika kwani atakaeshinda ni yule atakae weza kua juu ya mwenzake… ima hela ikuongoze au uiongoze..

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Wakati fulani mtu mwenye hekima aliulizwa nini maana ya maisha? Akajibu, Maisha yenyewe hayana maana. ispokua Maisha ni fursa ya kuunda maana 🫶

Katika jamii ya makuzi yangu vijana wengi wa umri wangu na walio nitangulia wana ndoto za maisha makubwa lakini jambo baya zaidi hawataki kazi. wanapenda ukaribu na watu walio fanikiwa watakao weza kuwahudumia juu ya kila kitu kulipiwa kodi kuvalishwa kulishwa. na hata matibabu

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Wachungaji wengi wanakua Na misimamo sana Na dini zao hawako tayari kufanya mambo yasio faaa kwa masilah ya kulinda heshima Na dini ya Mungu wao tofauti Na mashekh wetu ambao wengi wao wanaweza kufanya chochote sababu ya matumbo Yao so sad 😞

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Moja ya somo kubwa maishani" ikiwa utazoea kukosa sana katika vitu vingi ulivyotegemea kupata kupitia watu uhalisia utakujenga kuamini katika maisha yako. na sio matarajio" kwa maisha ya watu

hassanmwakinyo_ (@jrmwakinyo) 's Twitter Profile Photo

Katika maisha, utakosana na watu ambao hukuwaza kuwa ungekosana nao . utaSalitiwa na watu uliowaamini kwa moyo wako wote.Na utumike vibaya na watu ambao ungefanya chochote kwa ajili yao… believe it or not# Msena