Joseph Shija (@josephs24366548) 's Twitter Profile
Joseph Shija

@josephs24366548

ID: 1448638231193530369

calendar_today14-10-2021 13:14:22

47 Tweet

25 Followers

274 Following

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Azam FC imetangaza kuwa kuanzia sasa mechi zao zote zilizobaki za msimu huu, watakazocheza katika uwanja wao wa nyumabani Azam Complex, Chamazi hakutakuwa na kiingilio zaidi ya shabiki atatakiwa kuvaa jezi yoyote ya Azam FC. Jumatano,Azam watavaana na Dodoma Jiji.

Azam FC imetangaza kuwa kuanzia sasa mechi zao zote zilizobaki za msimu huu, watakazocheza katika uwanja wao wa nyumabani Azam Complex, Chamazi hakutakuwa na kiingilio zaidi ya shabiki atatakiwa kuvaa jezi yoyote ya Azam FC.

Jumatano,Azam watavaana na Dodoma Jiji.