profile-img
Johnbest Mwahaja

@JohnieZeBest

Procurement & Finance Person | Content Creator | #Upendoโ™ฅ๏ธ |
Mtoto Wa Mama Johnie | #MrUnknownCode | Captain Ramos ยฉ๏ธ

calendar_today30-05-2016 05:58:27

175,6K Tweets

52,7K Followers

2,3K Following

Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

Kwanini Uje/ Uende .....

Kuna Ambao Mara Yao Ya Kwanza Kusikia na Kuna Wale Wamesikia Ila Hawajawahi Kufika Kabisa Bonanzani. Ukiacha Kwamba Utakutana Tweeps Mnaopiga Stori DM au Kwenye TL basi huku utakutana nao.

Kwanini Uje/ Uende #TOTBonanza ..... Kuna Ambao Mara Yao Ya Kwanza Kusikia #TOTBonanza na Kuna Wale Wamesikia Ila Hawajawahi Kufika Kabisa Bonanzani. Ukiacha Kwamba Utakutana Tweeps Mnaopiga Stori DM au Kwenye TL basi huku utakutana nao.
account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

ni Tamasha wadau wanao tumia twitter Tanzania kujumuika pamoja na kufurahia, kubadilishana mawazo, kuungishana, kunywa, kushindana na hata kubadilishana namba kwa ajili ya fursa.

Sikia Sasa Kwanin Uje Bonanza..... ๐Ÿ‘‡

#TOTBonanza ni Tamasha wadau wanao tumia twitter Tanzania kujumuika pamoja na kufurahia, kubadilishana mawazo, kuungishana, kunywa, kushindana na hata kubadilishana namba kwa ajili ya fursa. Sikia Sasa Kwanin Uje Bonanza..... ๐Ÿ‘‡
account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

1. Fursa za Kibiashara.

imetoa fursa kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa kuleta biashara zao nakuziuza kwa wahudhuriaji wa Bonanza. Kuna watoa huduma pia wapo, utakuna na wajasiriamali makundi yote. Tegemea kumkuta Bukhery na vyombo vyake, Chef G na jiko Lake

1. Fursa za Kibiashara. #TOTBonanza imetoa fursa kwa wajasiriamali wadogo na wakubwa kuleta biashara zao nakuziuza kwa wahudhuriaji wa Bonanza. Kuna watoa huduma pia wapo, utakuna na wajasiriamali makundi yote. Tegemea kumkuta @siimasoud na vyombo vyake, @ChefGBongo na jiko Lake
account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

2. Michezo Na Wachezaji

Football kwa team zilizojisajiri, hapa utakuna na Malejendi ROHOMBAYA FC. Kama unavyojua msisimko wa mpira wa miguu. Achana na ile ya mashabiki ya Yanga na Mikia hadi Ankali Selbinho Soldado akacheza na Eng. Ndembo Jafari akawa kocha mbele ya Senzo.

2. Michezo Na Wachezaji Football kwa team zilizojisajiri, hapa utakuna na Malejendi @RohoMbayaFClub. Kama unavyojua msisimko wa mpira wa miguu. Achana na ile ya mashabiki ya Yanga na Mikia hadi Ankali @SoldadoSelbinho akacheza na @ndembo255 akawa kocha mbele ya Senzo.
account_circle