Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile
Bagabo john

@johnbagabo3

website news and Media

ID: 1242130493233119234

calendar_today23-03-2020 16:46:21

756 Tweet

222 Followers

339 Following

Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Uongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu nchini Rwanda (RMC) umetangaza kuwa sikukuu ya kumaliza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Eid al-Fitr 2026) itaadhimishwa Ijumaa, tarehe 20 Machi 2026.

Kikundi cha wanafunzi 41 kutoka Chuo Kikuu cha Harvard, walio katika ziara ya siku saba nchini Rwanda, leo wametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). Walipokelewa na Msemaji wa Jeshi, Brigedia Jenerali Ronald Rwivanga. Rwanda Defence Force

Kikundi cha wanafunzi 41 kutoka Chuo Kikuu cha Harvard, walio katika ziara ya siku saba nchini Rwanda, leo wametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). Walipokelewa na Msemaji wa Jeshi, Brigedia Jenerali Ronald Rwivanga.
Rwanda Defence Force
Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Rwanda Paul Kagame, ametuma ujumbe wa pongezi na heri njema kwa mwenzake wa Jamhuri ya Kongo, Denis Sassou Nguesso, baada ya kuchaguliwa tena kuongoza nchi hiyo.

Leo hii Jumamosi wanachama zaidi ya 2000 wamekusanyika katika makao makuu ya FPR Inkotanyi huko Rusororo kwa mkutano mkuu wa sita wa jukwaa la wanawake wa chama hicho. #FPRInkotanyi #UrugagarwAbagore

Mheshimiwa Bi Jeannette Kagame amehimiza chama cha wanawake cha FPR Inkotanyi kuzingatia afya njema, kupenda nchi na kuilinda Rwanda. Ujumbe huo aliutoa kwa zaidi ya washiriki 2000 waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Sita wa chama hicho uliofanyika Jumamosi.

Mheshimiwa Bi Jeannette Kagame amehimiza chama cha wanawake cha FPR Inkotanyi kuzingatia afya njema, kupenda nchi na kuilinda Rwanda.
Ujumbe huo aliutoa kwa zaidi ya washiriki 2000 waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Sita wa chama hicho uliofanyika Jumamosi.
VOICE FM 94.5 (@voice_fm_rwanda) 's Twitter Profile Photo

Ku cyicaro cy'Ikigo cy'Abanyamerika gishinzwe isanzure (NASA), Umuyobozi Mukuru wa Rwanda Space Agency, Gaspard Twagirayezu, yitabiriye ibiganiro byibanze ku hazaza h’ubushakashatsi bwo mu isanzure no gushimangira ubufatanye mu guhanga udushya mu by’isanzure.

Ku cyicaro cy'Ikigo cy'Abanyamerika gishinzwe isanzure (NASA), Umuyobozi Mukuru wa Rwanda Space Agency, Gaspard Twagirayezu, yitabiriye ibiganiro byibanze ku hazaza h’ubushakashatsi bwo mu isanzure no gushimangira ubufatanye mu guhanga udushya mu by’isanzure.
Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Rais Paul Kagame amekumbusha makanisa na dini kufanya kazi kwa utaratibu mzuri badala ya kuanzisha makanisa kwa ajili ya kujificha nyuma ya imani ili kujipatia faida binafsi. Alisema: “Serikali haitesi dini, bali inaweka mambo katika mpangilio unaofaa.”

Rais Paul Kagame amekumbusha makanisa na dini kufanya kazi kwa utaratibu mzuri badala ya kuanzisha makanisa kwa ajili ya kujificha nyuma ya imani ili kujipatia faida binafsi.
Alisema: “Serikali haitesi dini, bali inaweka mambo katika mpangilio unaofaa.”
Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Muraho MTN Rwanda , byagenze gute ko umuntu asigaye akoresha Swap System zari mu kinyarwanda zigahita zijya mu cyongereza? Ubu abantu batazi uru rurimi bizagenda gute? Ese ntaburyo mwabafasha bigasubira mu kinyarwanda ? Dore ubutumwa bampaye? Murakoze

Muraho MTN Rwanda , byagenze gute ko umuntu asigaye akoresha Swap  System zari mu kinyarwanda zigahita zijya mu cyongereza?
Ubu abantu batazi uru rurimi bizagenda gute?
Ese ntaburyo mwabafasha bigasubira mu kinyarwanda ?
Dore ubutumwa bampaye?
Murakoze
Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Alhamisi, tarehe 26 Machi 2026, mashindano ya FIFA Series 2026 yameanza kufanyika nchini Rwanda. Mechi iliyowakutanisha timu ya taifa ya Tanzania na Liechtenstein ilimalizika kwa ushindi wa Liechtenstein wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania. TAIFA STARS

Alhamisi, tarehe 26 Machi 2026, mashindano ya FIFA Series 2026 yameanza kufanyika nchini  Rwanda.
Mechi iliyowakutanisha timu ya taifa ya Tanzania na Liechtenstein ilimalizika kwa ushindi wa Liechtenstein wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania.
TAIFA STARS
Sam Kabera (@sam_kabera) 's Twitter Profile Photo

UPDATES ======== Nari nababwiyeko #Drones zizindukira Kiramuruzi,zivuyeyo mukanya ariko amakuru zivanye mu Kigo cya Kiramuruzi Modern ni uko umuyobozi yaba yemeye amafaranga y'umwarimu umwe yatanzwe ntagezwe aho yagombaga kugezwa mu gihe ay'abandi bazitabaza historique za

Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya, Dkt. Sabin Nsanzimana, amesema kuwa magari ya wagonjwa yamewekwa teknolojia inayozuia dereva kuendesha akiwa amelewa. Pia yamefungwa kamera zinazorekodi picha, ili kuonyesha dereva na abiria wake na kuzuia kuwabeba watu wasio wagonjwa.

Waziri wa Afya, Dkt. Sabin Nsanzimana, amesema kuwa magari ya wagonjwa yamewekwa teknolojia inayozuia dereva kuendesha akiwa amelewa.
Pia yamefungwa kamera zinazorekodi picha, ili kuonyesha dereva na abiria wake na kuzuia  kuwabeba watu wasio wagonjwa.
Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Juu imethibitisha kuwa kifungu cha 106 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai hakipingani na baadhi ya vifungu vya Katiba, na ikaamua kuwa malalamiko yaliyowasilishwa na Ingabire Victoire Umuhoza hayana msingi. Ministry of Justice Rwanda Correctional Service

Mahakama ya Juu imethibitisha kuwa kifungu cha 106 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai hakipingani na baadhi ya vifungu vya Katiba, na ikaamua kuwa malalamiko yaliyowasilishwa na Ingabire Victoire Umuhoza hayana msingi.
Ministry of Justice
Rwanda Correctional Service
Bagabo john (@johnbagabo3) 's Twitter Profile Photo

Muraho bantu bo muri MTN Rwanda , iki gitekerezo mu zagisuzume nimusanga gifite ireme muzagiheshe umugisha. Kuriya umuntu akanda *151# yiguriza amaunite, mu bikoze umuntu akiguriza atari Unite ahubwo akaza ari amafaranga akajya kuri MoMo? Byashoboka?