Jogoo la shamba (@jogoolashamba3) 's Twitter Profile
Jogoo la shamba

@jogoolashamba3

ID: 1414528413709316096

calendar_today12-07-2021 10:14:03

77 Tweet

1,1K Followers

4,4K Following

Jogoo la shamba (@jogoolashamba3) 's Twitter Profile Photo

Messi aende serie a, kwa Ramos ndo walishazoeana akija epl atatusumbua tu, kwanza akae akijua kuwa mbowe sio gaidi🤔🤔

Jogoo la shamba (@jogoolashamba3) 's Twitter Profile Photo

Hivi Ili ufikie mafanikio makubwa Sana katika nyaja yoyote ile ni lazima upate elimu ya magharibi,ukiangalia karibu kila mwanasiasa aliefanikiwa Zaid kasomea UK,US,GER,n.k.sijui kule Wana siri Gani ambayo elimu yetu imetuficha,au ndo wanaenda kujifunza ukoloni Mambo Leo.

Jogoo la shamba (@jogoolashamba3) 's Twitter Profile Photo

Mzembe siku akijitambua kuwa ni mzembe na akaamua kuacha uzembe ,huwa anatoboa moja kwa moja, sababu Wana akili Sana wazembe ila wankosa hamasa