
Jasper Kido
@jasperkido
I write because I read, I read thus I write ✊🏾
ID: 1416712242221961220
18-07-2021 10:51:58
4,4K Tweet
503 Takipçi
1,1K Takip Edilen



Mtafiti wa Wasemaji wa Kisekta na Afisa wa Makao ya ACTWazalendo, Ndugu Cde. Mshenga. amefanya mazungumzo na Viongozi na Watia nia wa kata zote nane za Jimbo la Mafia. Kikao hicho ni sehemu ya Operesheni Maji Maji inayoendelea nchi nzima. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


"Nawashangaa Wapinzani wanaopinga Suala la Wananchi kulinda Kura, ningeweza kuwauliza wao walishindaje huko nyuma lakini sitaki chama chetu kuingia kwenye majibizano na wapinzani wenzetu, Sio wakati wake. Ila naelewa Ukubwa wa Chama chetu unawatisha" shangwe Ayo





🚨🎙️ David de Gea: “I turned down offers to return to England this summer because I couldn't join another team other than United.” LEGEND ❤️ [SPORTbible]
![(fan) Ruben Amorim 🇵🇹 (@rubenamorimx) on Twitter photo 🚨🎙️ David de Gea:
“I turned down offers to return to England this summer because I couldn't join another team other than United.”
LEGEND ❤️
[<a href="/sportbible/">SPORTbible</a>] 🚨🎙️ David de Gea:
“I turned down offers to return to England this summer because I couldn't join another team other than United.”
LEGEND ❤️
[<a href="/sportbible/">SPORTbible</a>]](https://pbs.twimg.com/media/GwahaZCWgAELvmQ.jpg)




Ahsante sana Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa kwa kuchangia Tsh 10,000,000/= kwa ajili ya kufanikisha Mkutano Mkuu Maalum. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo







Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashairiki, Dr. Nasra Nassor Omar amechangia Tsh 1,000,000/= kwa ajili ya Mkutano Mkuu Maalum. Ahsante sana Dkt Nasra. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo

