Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile
Jamii Forums

@jamiiforums

Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

ID: 49632982

linkhttp://t.me/JamiiForums calendar_today22-06-2009 13:50:07

66,66K Tweet

1,8M Followers

191 Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

KILIMANJARO: Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa hali ya Usalama Nchini ni shwari na kueleza kuwa Jeshi la Polisi, Vyombo vya Usalama na Raia wapenda Amani wamewezesha hali hiyo IGP Wambura

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kufahamu Uhalisia wa chapisho linalosambaa mtandaoni linalodaiwa kuwa la #TheChanzo likionesha kuwa Mwenyekiti wa #CHADEMA, Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza kifo cha Mzee Ali Kibao Ufuatiliaji wa

Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kufahamu Uhalisia wa chapisho linalosambaa mtandaoni linalodaiwa kuwa la #TheChanzo likionesha kuwa Mwenyekiti wa #CHADEMA, Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza kifo cha Mzee Ali Kibao

Ufuatiliaji wa
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Septemba 21, 2024, tutayatambua Maandiko yaliyoibuka kidedea kwenye Shindano la Uandishi wenye Tija Mtandaoni la Stories of Change ambapo mwaka huu (2024) maandiko yalitoa mapendekezo kuhusu Tanzania Tuitakayo kwa Miaka 5 hadi 25 ijayo kwenye Sekta mbalimbali Aidha, katika siku

Septemba 21, 2024, tutayatambua Maandiko yaliyoibuka kidedea kwenye Shindano la Uandishi wenye Tija Mtandaoni la Stories of Change ambapo mwaka huu (2024) maandiko yalitoa mapendekezo kuhusu Tanzania Tuitakayo kwa Miaka 5 hadi 25 ijayo kwenye Sekta mbalimbali

Aidha, katika siku
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kushughulikia Barabara ya Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini kwani ni changamoto kwa usafiri kutokana na uwepo wa Korongo kubwa lililotokana na mvua za msimu uliopita Amedai kuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana

MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kushughulikia Barabara ya Mtaa wa Kisoko na Mtaa wa Silivini kwani ni changamoto kwa usafiri kutokana na uwepo wa Korongo kubwa lililotokana na mvua za msimu uliopita

Amedai kuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameagiza ufuatiliaji wa Tsh. Milioni 402.41 ambazo hazijaonekana katika Mapato ya Serikali yaliyopatikana kutoka kwenye Kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi Amesema ripoti zinaonesha Serikali ilipata Tsh. Trilioni 1.877 kwa Mwaka

DAR: Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameagiza ufuatiliaji wa Tsh. Milioni 402.41 ambazo hazijaonekana katika Mapato ya Serikali yaliyopatikana kutoka kwenye Kampuni 44 za Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi
 
Amesema ripoti zinaonesha Serikali ilipata Tsh. Trilioni 1.877 kwa Mwaka
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Jose Chameleone (45), Raia wa Uganda alitoa Wimbo wa Shida za Dunia akilenga kuwapa moyo ambao wanapitia wakati mgumu katika Maisha, akiwaambia Mungu yupo pamoja nao na kuwa muda utafika mambo yatakuwa mazuri Soma jamii.app/ShidaZaDunia #JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha

Jose Chameleone (45), Raia wa Uganda alitoa Wimbo wa Shida za Dunia akilenga kuwapa moyo ambao wanapitia wakati mgumu katika Maisha, akiwaambia Mungu yupo pamoja nao na kuwa muda utafika mambo yatakuwa mazuri

Soma jamii.app/ShidaZaDunia

#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DIGITALI: Vivinjari (Browser) kama Google Chrome, Mozilla Firefox au Safari vinatoa chaguo la kuweka vitu vyako kwa faragha pamoja na uwezo wa kudhibiti kumbukumbu za shughuli zako mtandaoni. Hii ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa watumiaji Ni muhimu kuboresha mipangilio ya

DIGITALI: Vivinjari (Browser) kama Google Chrome, Mozilla Firefox au Safari vinatoa chaguo la kuweka vitu vyako kwa faragha pamoja na uwezo wa kudhibiti kumbukumbu za shughuli zako mtandaoni. Hii ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa watumiaji

Ni muhimu kuboresha mipangilio ya
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

SENEGAL: Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali Mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo

SENEGAL: Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali Mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiCheck.com aliomba kupata Uhalisia wa Taarifa inayodai kuwa aliyekuwa mchezaji wa #SimbaSC, Willy Essomba Onana amefunga magoli matatu (hat-trick) katika mchezo wake wa kwanza kuitumikia Klabu yake Mpya ya #AlHilalBenghaz ya #Libya Ufuatiliaji wa #JamiiCheck

Mdau wa JamiiCheck.com aliomba kupata Uhalisia wa Taarifa inayodai kuwa aliyekuwa mchezaji wa #SimbaSC, Willy Essomba Onana amefunga magoli matatu (hat-trick) katika mchezo wake wa kwanza kuitumikia Klabu yake Mpya ya #AlHilalBenghaz ya #Libya

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

KILIMANJARO: Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema “Tunajiuliza na tunaendelea kufuatilia na kuchunguza kwanini (CHADEMA) wanataka kututoa kwenye reli wakati upelelezi unaendelea.” Amesema hayo wakati akifafanua kuhusu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

KILIMANJARO: Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 23, 2024 yamepigwa marufuku kwakuwa ni haramu Soma jamii.app/TamkoLaPolisi #JFMatukio #JamiiForums

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikia, wanasema 'Samia Must Go'. Yupo pale kwa mujibu wa Katiba, moja ya sifa ya Kijana anayeandaliwa vizuri ni kufundishwa kuheshimu Katiba. Zilipoanza kelele za 'Mbowe Must Go' zilishindikana kwa

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR ES SALAAM: Akizungumza na Wanahabari leo Septemba 13, 2024, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kati ya Mwaka 2017 hadi 2023 jumla ya Askari Polisi 42 waliuawa katika mapambano dhidi ya Majambazi huku idadi ya waliojeruhiwa ni 141

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiCheck.com alitaka kufahamu uhalisia wa hoja inayodai kwamba Kinyonga hupasuka tumbo na kufariki wakati wa kuzaa watoto. Ufuatiliaji wa #JamiiCheck kupitia Machapisho na Tafiti mbalimbali umebaini hoja hiyo si ya Kweli. Mathalani, Shirika la uhifadhi la San

Mdau wa JamiiCheck.com alitaka kufahamu uhalisia wa hoja inayodai kwamba Kinyonga hupasuka tumbo na kufariki wakati wa kuzaa watoto.

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck kupitia Machapisho na Tafiti mbalimbali umebaini hoja hiyo si ya Kweli. Mathalani, Shirika la uhifadhi la San
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Mamlaka ya Wakala wa Vipimo (WMA) imesema inatarajia kuanza zoezi la kuhakiki Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zinatumika pamoja na kuhakiki ‘mabando’ ya simu ya Mitandao (muda wa maongezi na intaneti) Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA, Alban Kihulla amesema uamuzi huo

DAR: Mamlaka ya Wakala wa Vipimo (WMA) imesema inatarajia kuanza zoezi la kuhakiki Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zinatumika pamoja na kuhakiki ‘mabando’ ya simu ya Mitandao (muda wa maongezi na intaneti)

Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA, Alban Kihulla amesema uamuzi huo
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Sherehe ya Tuzo za Stories of Change 2024 inakaribia, tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii ili usipitwe Septemba 21, 2024, Maandiko Bora yaliyoshinda katika Msimu wa 4 wa Stories of Change katika kuipendekeza Tanzania Tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo yatatambulika Aidha,

Sherehe ya Tuzo za Stories of Change 2024 inakaribia, tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii ili usipitwe

Septemba 21, 2024, Maandiko Bora yaliyoshinda katika Msimu wa 4 wa Stories of Change katika kuipendekeza Tanzania Tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo yatatambulika

Aidha,
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

BURUDANI: Rapa Lil Wayne amesema kitendo cha kutochaguliwa kuwa Msanii atakayeongoza Watumbuizaji katika tamasha la #SuperBowlHalftime kimemuumiza na hakujiandaa kiakili kuipokea taarifa hiyo Hivi karibuni Waandaaji wa Tamasha hilo walimtangaza Rapa Kendrick Lamar kama

BURUDANI: Rapa Lil Wayne amesema kitendo cha kutochaguliwa kuwa Msanii atakayeongoza Watumbuizaji katika tamasha la #SuperBowlHalftime kimemuumiza na hakujiandaa kiakili kuipokea taarifa hiyo 

Hivi karibuni Waandaaji wa Tamasha hilo walimtangaza Rapa Kendrick Lamar kama
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

#AbrahamLincoln alisisitiza umuhimu wa kusimamia Ukweli na Maadili kama Mwongozo Sahihi, badala ya kutafuta tu ushindi au kuungwa mkono na umma, ikiwa na maana ya kuwa ni muhimu kujitoa kuwa Mwaminifu na mwenye Maadili. Kuzuia Upotoshaji ni jukumu la kila mmoja kwa kuacha

#AbrahamLincoln alisisitiza umuhimu wa kusimamia Ukweli na Maadili kama Mwongozo Sahihi, badala ya kutafuta tu ushindi au kuungwa mkono na umma, ikiwa na maana ya kuwa ni muhimu kujitoa kuwa Mwaminifu na mwenye Maadili.

Kuzuia Upotoshaji ni jukumu la kila mmoja kwa kuacha
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

#KENYA: Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi, Gilbert Masengeli kifungo cha Miezi 6 jela kwa Kosa la Kudharau Mahakama Imeelezwa, Masengeli alipuuza agizo la Mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza walipo Watu

#KENYA: Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi, Gilbert Masengeli kifungo cha Miezi 6 jela kwa Kosa la Kudharau Mahakama

Imeelezwa, Masengeli alipuuza agizo la Mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza walipo Watu