Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profileg
Jamii Forums

@JamiiForums

The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen Journalism

ID:49632982

linkhttp://t.me/JamiiForums calendar_today22-06-2009 13:50:07

64,0K Tweets

1,7M Followers

326 Following

Jamii Check(@JamiiCheck) 's Twitter Profile Photo

Kutokuwa na taarifa sahihi husababisha watu kuamini taarifa zozote hata za ambazo wangeweza kuziepuka iwapo wangekuwa na taarifa sahihi zenye uhakika

Je, ni jambo gani ambalo lilikuathiri na ungeweza kuliepuka iwapo ungekuwa na taarifa sahihi Mapema?

Kutokuwa na taarifa sahihi husababisha watu kuamini taarifa zozote hata za #Uzushi ambazo wangeweza kuziepuka iwapo wangekuwa na taarifa sahihi zenye uhakika Je, ni jambo gani ambalo lilikuathiri na ungeweza kuliepuka iwapo ungekuwa na taarifa sahihi Mapema? #JamiiiCheck
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Una Biashara au Huduma unataka kuitangaza?

Kupitia Jukwaa la Matangazo Madogo ndani ya JamiiForums.com unaweza kutangaza bidhaa au huduma yako bure

Unachotakiwa kufanya ni kutaja mahali bidhaa au huduma hiyo inapopatikana pamoja na Mawasiliano yako

Kufahamu zaidi

Una Biashara au Huduma unataka kuitangaza? Kupitia Jukwaa la Matangazo Madogo ndani ya JamiiForums.com unaweza kutangaza bidhaa au huduma yako bure Unachotakiwa kufanya ni kutaja mahali bidhaa au huduma hiyo inapopatikana pamoja na Mawasiliano yako Kufahamu zaidi
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

: Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inatarajia kutumia Bajeti ya Tsh. 180,926,557,000 katika Mwaka 2024/25 ili kutekeleza shughuli zilizo chini ya Wizara hiyo

Tsh. 142,019,894,000 zitatumika katika Miradi ya Maendeleo ambapo kati ya Fedha hizo, Tsh.

#BUNGENI: Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inatarajia kutumia Bajeti ya Tsh. 180,926,557,000 katika Mwaka 2024/25 ili kutekeleza shughuli zilizo chini ya Wizara hiyo Tsh. 142,019,894,000 zitatumika katika Miradi ya Maendeleo ambapo kati ya Fedha hizo, Tsh.
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Mbunge wa Makete, Festo Richard Sanga ameshauri Serikali kuwekeza nguvu zaidi kwenye Uchumi wa Kidigitali unaohusisha matumizi ya fedha Kielektroniki kwenye shughuli za Kiuchumi

Amesema hali hiyo itasaidia kupambana na kupunguza , matukio ya wizi, ukabaji na

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Mdau kutoka Chuo cha IFM anadai kuna Wanafunzi takriban 180 ambao hawajapata Fedha za Kujikimu (Boom) awamu ya kwanza walioanza Masomo 2023/24

Anaeleza wamefuatilia hadi Bodi ya Mikopo, majibu yakatoka kuwa walishamalizana na Chuo hivyo ni jukumu la Chuo hasa Afisa Mikopo,

DAR: Mdau kutoka Chuo cha IFM anadai kuna Wanafunzi takriban 180 ambao hawajapata Fedha za Kujikimu (Boom) awamu ya kwanza walioanza Masomo 2023/24 Anaeleza wamefuatilia hadi Bodi ya Mikopo, majibu yakatoka kuwa walishamalizana na Chuo hivyo ni jukumu la Chuo hasa Afisa Mikopo,
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

BUNGENI: Wizara ya Mambo ya Ndani inatarajia kutumia Tsh, 870,429,138,000 kwaajili ya kulipa Mishahara ya Watumishi wa Wizara wakiwemo Askari Polisi na Magereza kwa Mwaka 2024/25

Kwa mujibu wa Bajeti ya Wizara hiyo iliyowasilisha , Wizara imeomba kiasi cha Tsh. Trilioni

BUNGENI: Wizara ya Mambo ya Ndani inatarajia kutumia Tsh, 870,429,138,000 kwaajili ya kulipa Mishahara ya Watumishi wa Wizara wakiwemo Askari Polisi na Magereza kwa Mwaka 2024/25 Kwa mujibu wa Bajeti ya Wizara hiyo iliyowasilisha #Bungeni, Wizara imeomba kiasi cha Tsh. Trilioni
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Mdau aliyejitambulisha kuwa ni Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( ) amedai baadhi ya Wanafunzi wamezuiwa kufanya Mtihani inayoendelea chuoni hapo kutokana na kukosa Vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwasababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semester ya Pili

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Msimu wa 4 wa Shindano la Stories Of Change unatoa fursa kwako uliye Mkulima, Mdau au Mtaalamu wa Kilimo kuwasilisha Mawazo Bunifu ili kushughulikia changamoto za Kilimo kama Mabadiliko ya hali ya Hewa, upatikanaji wa Masoko na Pembejeo n.k

Wasilisha andiko lako kupitia

Msimu wa 4 wa Shindano la Stories Of Change unatoa fursa kwako uliye Mkulima, Mdau au Mtaalamu wa Kilimo kuwasilisha Mawazo Bunifu ili kushughulikia changamoto za Kilimo kama Mabadiliko ya hali ya Hewa, upatikanaji wa Masoko na Pembejeo n.k Wasilisha andiko lako kupitia
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo, amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna Maendeleo bila Vyombo vya Habari.”

Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

HAKI ZA KIDIGITALI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema hadi sasa zaidi ya Taasisi 300 zinazojihusisha na Ukusanyaji na Uchakataji wa ziko katika hatua mbalimbali za Kujisajili katika Mfumo wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa

HAKI ZA KIDIGITALI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema hadi sasa zaidi ya Taasisi 300 zinazojihusisha na Ukusanyaji na Uchakataji wa #TaarifaBinafsi ziko katika hatua mbalimbali za Kujisajili katika Mfumo wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Sekta ya Habari nchini Tanzania imepata ukuaji wa 26.6% katika kipindi cha mwaka mmoja (Aprili 2023 hadi Aprili 2024)

Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliyosomwa Bungeni, imeonesha Vituo vya Runinga vimeongezeka

DODOMA: Sekta ya Habari nchini Tanzania imepata ukuaji wa 26.6% katika kipindi cha mwaka mmoja (Aprili 2023 hadi Aprili 2024) Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliyosomwa Bungeni, imeonesha Vituo vya Runinga vimeongezeka
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Mbunge wa Viti Maalum, Agnes Mathew Marwa akichangia hoja Bungeni kuhusu Wizara ya Mambo ya Ndani, ametoa wito kwa Serikali kuboresha maslahi ya Watumishi wa Vyombo vya Usalama

Soma jamii.app/HaliNgumuJeshi…

account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika robo ya Mwaka inayoishia Machi 2024, gharama za Data (Intaneti) ndani ya kifurushi zimeshuka kwa kiasi kidogo na kufikia wastani wa Tsh. 2.17 kwa Megabyte ikilinganishwa na Tsh. 2.25 ya

DODOMA: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika robo ya Mwaka inayoishia Machi 2024, gharama za Data (Intaneti) ndani ya kifurushi zimeshuka kwa kiasi kidogo na kufikia wastani wa Tsh. 2.17 kwa Megabyte ikilinganishwa na Tsh. 2.25 ya
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

HAKI ZA KIDIGITALI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Uchambuzi uliofanywa na Wizara hadi kufikia mwaka 2023, ulionesha Ardhi ya Tanzania inapata Mawasiliano ya Simu za Mkononi kwa 69%

Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo Dodoma,

HAKI ZA KIDIGITALI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Uchambuzi uliofanywa na Wizara hadi kufikia mwaka 2023, ulionesha Ardhi ya Tanzania inapata Mawasiliano ya Simu za Mkononi kwa 69% Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo #Bungeni Dodoma,
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Machi 2024 Jeshi la Polisi lilipokea magari 44 aina ya GWM kati ya magari 200 ambayo yanatarajiwa kupokelewa na Magari 156 yaliyobaki yanatarajiwa kuingia nchini wakati wowote

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amebainisha hayo katika Makadirio ya Mapato na

Machi 2024 Jeshi la Polisi lilipokea magari 44 aina ya GWM kati ya magari 200 ambayo yanatarajiwa kupokelewa na Magari 156 yaliyobaki yanatarajiwa kuingia nchini wakati wowote Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amebainisha hayo katika Makadirio ya Mapato na
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

DAR: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania ( ) kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya Mkandarasi anayechimba mchanga maeneo ya Mto Tegeta na kupita Barabara ya Mkupita akidai magari yanayotumika yanachangia uharibifu

DAR: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini Tanzania (#TARURA) kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya Mkandarasi anayechimba mchanga maeneo ya Mto Tegeta na kupita Barabara ya Mkupita akidai magari yanayotumika yanachangia uharibifu
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

ENGLAND: Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao

Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu

ENGLAND: Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu
account_circle