Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile
Jamii Forums

@jamiiforums

Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

ID: 49632982

linkhttp://t.me/JamiiForums calendar_today22-06-2009 13:50:07

69,69K Tweet

1,8M Followers

199 Following

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kwa utafutaji wa kutumia maneno muhimu na marejeo ya video ya mkutano wa Askofu Gwajima Mei 24, 2025, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taarifa inayosambazwa kuwa Gwajima aliwatuhumu vijana wa CHADEMA kuhusika na shambulio dhidi ya Padri Charles Kitima Si ya Kweli. Aidha, Chapisho

Kwa utafutaji wa kutumia maneno muhimu na marejeo ya video ya mkutano wa Askofu Gwajima Mei 24, 2025, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taarifa inayosambazwa kuwa Gwajima aliwatuhumu vijana wa CHADEMA kuhusika na shambulio dhidi ya Padri Charles Kitima Si ya Kweli. 

Aidha, Chapisho
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kupitia utafutaji wa maneno muhimu na marejeo ya video ya hotuba ya John Heche ya Mei 23, 2025, #JamiiCheck imebaini na kujiridhisha kuwa Taarifa inayodai CHADEMA wameandika barua kwa Tume Huru ya Uchaguzi kuomba mazungumzo Si ya Kweli. Chapisho lililosambazwa pia Si la Kweli

Kupitia utafutaji wa maneno muhimu na marejeo ya video ya hotuba ya John Heche ya Mei 23, 2025, #JamiiCheck imebaini na kujiridhisha kuwa Taarifa inayodai CHADEMA wameandika barua kwa Tume Huru ya Uchaguzi kuomba mazungumzo Si ya Kweli. 

Chapisho lililosambazwa pia Si la Kweli
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Video iliyosambaa TikTok ikimuonesha Heche akidai CHADEMA imeparaganyika na kupasuka, huku wanachama 3000 wakiondoka imepotoshwa uhalisia wake. Baada ya marejeo ya video, JamiiCheck imejiridhisha kuwa video hiyo imehaririwa kwa kukata vipande isivyostahili hivyo kupotosha maana

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu na marejeo ya video, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa taarifa ya madai yanayosambazwa TikTok kuhusu John Heche kusema CHADEMA haileti wanaharakati kutoka nje bali LHRC ndio inawaleta, Si ya Kweli. Katika hotuba yake ya Mei 23, 2025, Heche

Kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu na marejeo ya video, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa taarifa ya madai yanayosambazwa TikTok kuhusu John Heche kusema CHADEMA haileti wanaharakati kutoka nje bali LHRC ndio inawaleta, Si ya Kweli. 

Katika hotuba yake ya Mei 23, 2025, Heche
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

JamiiCheck imefuatilia Taarifa iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesitisha kampeni ya No Reforms No Election na kubaini kuwa si ya kweli. Kupitia ufuatiliaji wa kimtandao na hotuba yake ya Mei 25, 2025, imebainika hakutangaza

JamiiCheck imefuatilia Taarifa iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesitisha kampeni ya No Reforms No Election na kubaini kuwa si ya kweli. 

Kupitia ufuatiliaji wa kimtandao na hotuba yake ya Mei 25, 2025, imebainika hakutangaza
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kwa kutumia #GoogleReverseImageSearch, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa picha ya Askofu Josephat Gwajima inayosambazwa mtandaoni si ya mwaka 2025 kama inavyodaiwa Ufuatiliaji zaidi umeonesha Picha hiyo ilitumika kuelekea uchaguzi mkuu 2020, ambapo Millard Ayo aliichapisha katika

Kwa kutumia #GoogleReverseImageSearch, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa picha ya Askofu Josephat Gwajima inayosambazwa mtandaoni si ya mwaka 2025 kama inavyodaiwa

Ufuatiliaji zaidi umeonesha Picha hiyo ilitumika kuelekea uchaguzi mkuu 2020, ambapo Millard Ayo aliichapisha katika
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

John Weilsh (Daktari): Kwa hiyo, eneo mojawapo lenye uwezekano mkubwa wa mafanikio ni kuhimiza ushirikiano kati ya Wataalamu wa tiba hapa Tanzania au Kenya, na Watafiti katika Nchi nyingine, wanaojaribu sio tu kushughulikia matatizo ya Afya ya Akili kwa kutumia Teknolojia

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

John Weilsh (Daktari): Mimi ni mfuasi mkubwa wa ushirikiano wa Kimataifa, na naamini katika kuunganisha maarifa yetu ya pamoja na ya kipekee ili kuunda jamii ya pamoja ya wataalamu wa Sayansi ya Neva (Neuroscience) na Akili (Neuropsychiatry), kwaajili ya kushughulikia changamoto

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Taarifa zisizo Sahihi zinaweza kusababisha madhara ya muda mrefu, hivyo ni vema kuhakikisha unashiriki mapambano dhidi ya #TaarifaPotofu ili kuilinda Jamii. Usiiamini ama kuisambaza Taarifa kabla ya Kuithibitisha Uhalisia wake. Unaweza kuwasilisha katika Jukwaa la

Taarifa zisizo Sahihi zinaweza kusababisha madhara ya muda mrefu, hivyo ni vema kuhakikisha unashiriki mapambano dhidi ya #TaarifaPotofu ili kuilinda Jamii.

Usiiamini ama kuisambaza Taarifa kabla ya Kuithibitisha Uhalisia wake. Unaweza kuwasilisha katika Jukwaa la
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Imeelezwa #Tanzania imepiga hatua katika ujenzi wa Miundombinu ya TEHAMA, ikiwa ni pamoja na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano wenye urefu wa Kilomita 13,820 (NICTBB) unaounganisha Mikoa na Wilaya zote, pamoja na kuunganisha Nchi za #Kenya, #Uganda, Rwanda, #Burundi, Zambia,

Akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika, Seneta wa Kenya amesema mara nyingine Watawala au Mamlaka hazina hisia, hawajui changamoto au hali halisi ya Kijinsia, na wanapobuni Sera au zana, mara nyingi ni mzigo unaobebwa na Wanawake Ameongeza kuwa

Akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika, Seneta wa Kenya amesema mara nyingine Watawala au Mamlaka hazina hisia, hawajui changamoto au hali halisi ya Kijinsia, na wanapobuni Sera au zana, mara nyingi ni mzigo unaobebwa na Wanawake

Ameongeza kuwa
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Seneta wa Kenya, Catherine Mumma amesema suala la jinsia katika mifumo limekuwa likibaki nyuma, kwa sababu ukiangalia mgawanyo wa masuala mbalimbali kama miundombinu, ushirikishwaji wa Wanawake nakadhalika utagundua kuwa Wanawake bado hawajajumuishwa ipasavyo. Amesema kuwa

Seneta wa Kenya, Catherine Mumma amesema suala la  jinsia katika mifumo limekuwa likibaki nyuma, kwa sababu ukiangalia mgawanyo wa masuala mbalimbali kama miundombinu, ushirikishwaji wa Wanawake nakadhalika utagundua kuwa Wanawake bado hawajajumuishwa ipasavyo.

Amesema kuwa
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao, Dkt Sabra Hussein kutoka Tanzania AI Community amesema “Unakuta Wanawake wa Vijijini labda Mkoani Kilimanjaro, wanatumia programu za Simu kujua wanapoweza kupata msaada lakini wanakutana na changamoto kwasababu

Dorris Magiri (Kijiji Link) amesema “Siku hizi wengi wetu tunaona ni bora kuzungumza na Simu zetu badala ya kuzungumza na Watu. Mtu akiwa na jambo anaamini sana kwenda kuiambia ChatGPT badala ya kumwambia Rafiki yake” Amesema "tunatakiwa kujiuliza kwamba Je, tunaweza kuiamini

Dorris Magiri (Kijiji Link) amesema “Siku hizi wengi wetu tunaona ni bora kuzungumza na Simu zetu badala ya kuzungumza na Watu. Mtu akiwa na jambo anaamini sana kwenda kuiambia ChatGPT badala ya kumwambia Rafiki yake”

Amesema "tunatakiwa kujiuliza kwamba Je, tunaweza kuiamini
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mary Gervas Matogolo (22), amewekwa mahabusu baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana kufuatia kesi ya Jinai inayomkabili yeye na Wanafunzi wenzake wawili, wakidaiwa kumshambulia mwenzao kwa kumgombania Msanii na

MANYARA: Timu ya Singida Black Stars SC imeingia Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, kwa kuichapa Simba SC Magoli 3-1, kwenye Uwanja Tanzanite Kwaraa katika Nusu Fainali Singida imepata Magoli kipitia kwa Emmanuel Keyeke (35, 48) na Jonathan Sowah (17), huku Jean Ahoua

MANYARA: Timu ya Singida Black Stars SC imeingia Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, kwa kuichapa Simba SC Magoli 3-1, kwenye Uwanja Tanzanite Kwaraa katika Nusu Fainali

Singida imepata Magoli kipitia kwa Emmanuel Keyeke (35, 48) na Jonathan Sowah (17), huku Jean Ahoua
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Baada ya udadisi kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taarifa inayodai CHADEMA imetoa wito kwa Tume Huru ya Uchaguzi(#INEC) kuondoa zuio na utayari wa chama hicho kushiriki uchaguzi Si ya Kweli. Barua yenye Taarifa hiyo imebainika kuwa ya

Baada ya udadisi kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa Taarifa inayodai CHADEMA imetoa wito kwa Tume Huru ya Uchaguzi(#INEC) kuondoa zuio na utayari wa chama hicho kushiriki uchaguzi Si ya Kweli. 

Barua yenye Taarifa hiyo imebainika kuwa ya
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Siasa amehoji kuwa tovuti ya Bunge inaonyesha Wasifu wa Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas kuwa alitumia Miaka Miwili (2010 na 2011) kusoma na kuhitimu masomo katika ngazi ya Shahada (Degree) na Master's Degree katika Chuo

Akichangia katika Mjadala unaongazia jukumu la upatikanaji wa Intaneti katika kuvunja Unyanyapaa unaozunguka matatizo ya Afya ya akili, Ajimah Olaghere amesema “Mimi binafsi naamini katika nguvu ya Watu na suluhisho ninalopendekeza linaanzia kwa Watu wenyewe, kwa sababu hapo

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’, Paris Saint-Germain (#PSG) wameonesha huu ni mwaka wao, kwa kubeba taji la #UEFAChampionsLeague (Ligi ya Mabingwa Ulaya), pia kushusha kipigo Kizito kwa #InterMilan ya Italia, Magoli 5-0 PSG inayonolewa na Kocha Luis Enrique, imebeba

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’, Paris Saint-Germain (#PSG) wameonesha huu ni mwaka wao, kwa kubeba taji la #UEFAChampionsLeague (Ligi ya Mabingwa Ulaya), pia kushusha kipigo Kizito kwa #InterMilan ya Italia, Magoli 5-0

PSG inayonolewa na Kocha Luis Enrique, imebeba