Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile
Jamii Check

@jamiicheck

A citizen-centered approach in countering Misinformation and Disinformation Online and Offline by JamiiForums

ID: 197133948

linkhttp://JamiiCheck.com calendar_today30-09-2010 18:46:06

3,3K Tweet

4,4K Followers

64 Following

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Taarifa Sahihi ndiyo chanzo cha Maamuzi Sahihi kwa Wananchi katika kipindi cha uchaguzi, hivyo ni muhimu kuepuka kusambaza Taarifa pasipo Uthibitishaji ili kuzuia Upotoshaji. Unapokutana na Taarifa inayokupa mashaka iwasilishe katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata

Taarifa Sahihi ndiyo chanzo cha Maamuzi Sahihi kwa Wananchi katika kipindi cha uchaguzi, hivyo ni muhimu kuepuka kusambaza Taarifa pasipo Uthibitishaji ili kuzuia Upotoshaji.

Unapokutana na Taarifa inayokupa mashaka iwasilishe katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Akiwasilisha mchango wake katika mkutano wa wadau wa sekta ya Habari na Utangazaji kanda ya Mashariki kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Esau Ng'umbi, alishauri kuanzishwa kwa Madawati ya uthibitishaji wa taarifa ili kukabiliana na Taarifa Potofu katika kipindi hicho akitolea mfano

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck kupitia marejeo ya Video umejiridhisha kuwa kipande kinachoonesha Joseph Mbilinyi (#Sugu) akisema Tundu Lissu ni Mhaini, wana CHADEMA kanda ya Nyasa wanaikataa 'No reforms, No election', kimekatwa na kuunda Ujumbe usiokamilika hivyo Kupotosha Uhalisia.

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kumekuwepo dhana kwamba mtu mwenye hasira huweza kutoa sumu anapomng’ata Mtu mwingine. Baada ya ufuafiliaji wa #JamiiCheck imebainika kuwa dhana hiyo haina Ukweli kwani hakuna Uthibitisho wowote Kisayansi ingawa kung'atana huweza kuwa na athari nyingine ikiwemo kuumizana ama

Kumekuwepo dhana kwamba mtu mwenye hasira huweza kutoa sumu anapomng’ata Mtu mwingine. 

Baada ya ufuafiliaji wa #JamiiCheck imebainika kuwa dhana hiyo haina Ukweli kwani hakuna Uthibitisho wowote Kisayansi ingawa kung'atana huweza kuwa na athari nyingine ikiwemo kuumizana ama
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha kuwa video iliyosambazwa #TikTok ikionesha tunda la topetope na kudai kuwa limefanikisha tiba ya UKIMWI kwa kusaidia watu nane, inapotosha kuhusu uhalisia wa tiba ya UKIMWI. Utafiti uliochapishwa katika tovuti ya National Library of

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Upotoshaji hufanyika kwa aina nyingi ikiwemo utengenezaji wa 'Screenshot' za Kughushi zenye ujumbe na kuelezwa kuwa umechapishwa ama kutolewa na Mtu fulani. Mathalani, Ujumbe ulioonekana kuchapishwa na Mwanachama wa CCM, Peter Msigwa akisema kuwa akikatwa jina lake atakihama

Upotoshaji hufanyika kwa aina nyingi ikiwemo utengenezaji wa 'Screenshot' za Kughushi zenye ujumbe na kuelezwa kuwa umechapishwa ama kutolewa na Mtu fulani.

Mathalani, Ujumbe ulioonekana kuchapishwa na Mwanachama wa CCM, Peter Msigwa akisema kuwa akikatwa jina lake atakihama
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha kuwa grafiki zenye utambulisho wa baadhi ya vyombo vya habari zikidai Mwabukusi alitoa kauli kuhusu ushiriki wa uchaguzi na idadi ya wanachama wa CHADEMA Agosti 25, 2025, ni za kughushi. Utafutaji kwa njia ya maneno muhimu umebaini kuwa

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha kuwa grafiki zenye utambulisho wa baadhi ya vyombo vya habari zikidai Mwabukusi alitoa kauli kuhusu ushiriki wa uchaguzi na idadi ya wanachama wa CHADEMA Agosti 25, 2025, ni za kughushi. 

Utafutaji kwa njia ya maneno muhimu umebaini kuwa
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha kuwa taarifa inayosambazwa mtandaoni ikidai Askofu Josephat Gwajima amehamia NCCR Mageuzi huku Boniface Mwabukusi akimuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA, Si ya kweli kwani andiko lililonukuliwa halijachapishwa na Mwabukusi. Vilevile,

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha kuwa taarifa inayosambazwa mtandaoni ikidai Askofu Josephat Gwajima amehamia NCCR Mageuzi huku Boniface Mwabukusi akimuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA, Si ya kweli kwani andiko lililonukuliwa halijachapishwa na Mwabukusi.

Vilevile,
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

#JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa Taarifa ya Agosti 25, 2025 inayoeleza kuwa Msajili ametengua uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais kupitia ACT si ya Kweli. Ufuatiliaji uliofanywa kupitia utafutaji wa maneno muhimu umebaini kuwa hakuna Chanzo chochote cha kuaminika

#JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa Taarifa ya Agosti 25, 2025 inayoeleza kuwa Msajili ametengua uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais kupitia ACT si ya Kweli.

Ufuatiliaji uliofanywa kupitia utafutaji wa maneno muhimu umebaini kuwa hakuna Chanzo chochote cha kuaminika
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck kupitia marejeo ya Video umejiridhisha kuwa kipande kinachoonesha Godbless Lema akisema "Hata kikiingia chama kingine cha upinzani, hakiwezi kubadilisha nchi" kimekatwa na kuunda Ujumbe usiokamilika hivyo Kupotosha Uhalisia. Katika hotuba yake Januari

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Teknolojia ya Akili Unde (AI) inaweza kutengeneza matukio ama matendo ambayo hayapo kabisa hivyo kupotosha. Video hii ilieleza kuwa Serikali ya Shirikisho nchini Nigeria imeamua kuanza kuwakamata Watu wasiokuwa na mahusiano kwa muda mrefu kwani upweke wao unaathiri shughuli za

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha kuwa video yenye kichwa cha habari, 'Boni Yai na Kanda ya Pwani waisaliti No reforms no election, waiomba serikali warudi kwenye uchaguzi' huku Boniface Jacob akisema wapo tayari kwa ajili ya uchaguzi, Inapotosha uhalisia. Uhalisia ni

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Uhakiki uliofanywa na #JamiiCheck kwa kutumiza Nyenzo mbalimbali umebaini kuwa Taarifa inayosambaa Mtandaoni ikidai John Heche amesema Askofu Gwajima haungi mkono 'No reforms No election' bali lengo lake ni urais kupitia CHADEMA imetengenezwa na Wapotoshaji kwa Kuiga Sauti yake

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kupitia nyenzo za kidigitali #JamiiCheck imejiridhisha kuwa video inayoonesha wanaodaiwa kuwa wanachama wa ACT Wazalendo wakiandamana mkoani Mtwara wakisema 'Mpina Sio Chaguo letu' Si halisi bali imetengenezwa kwa Akili Unde (#AI) Aidha, imebainika kuwa na mapungufu kadhaa

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Kupitia marejeo ya video, #JamiiCheck imejiridhisha kuwa kipande cha video kinachoonesha Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (#TEC) akizungumzia uchaguzi mkuu 2025 kimekatwa na kuunda ujumbe usiokamilika hivyo Kupotosha Uhalisia. Video hiyo imehaririwa kutoka

Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Matumizi ya vichwa vya habari vya kupotosha hupunguza imani ya umma kwa chanzo husika, hivyo ni muhimu kuhakikisha Taarifa zinasimamiwa kwa Usahihi. Aidha, jambo hili linawakumbusha watumiaji wa habari kutokuishia kusoma vichwa vya habari pekee na kuviamini, bali kuchunguza na

Matumizi ya vichwa vya habari vya kupotosha hupunguza imani ya umma kwa chanzo husika, hivyo ni muhimu kuhakikisha Taarifa zinasimamiwa kwa Usahihi. 

Aidha, jambo hili linawakumbusha watumiaji wa habari kutokuishia kusoma vichwa vya habari pekee na kuviamini, bali kuchunguza na
Jamii Check (@jamiicheck) 's Twitter Profile Photo

Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umejiridhisha taarifa inayosambazwa mtandaoni kuwa Dorothy Semu aondolewa #ACTWazalendo na kwamba mageuzi ni kwa wanaume pekee, Si ya kweli kwani Afisa Kitengo cha Mawasiliano wa chama hicho, Abdallah Khamis amesema Dorothy bado ni sehemu ya viongozi wa

#JamiiCheck imejiridhisha kuwa video inayosambazwa mtandaoni ikimuonesha Rais Donald Trump akimshutumu Rigathi Gachagua kwa kuchochea siasa za kikabila imepotoshwa kwa kuunganisha video mbili tofauti na kuambatanisha sauti isiyo na uhusiano. Video ya Rais Trump ilichapishwa